Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

Hizi address za makazi sijazielewa...
Mtaa mmoja nimelipa 1500
Mtaa mwingine 3000
Mtaa mwingine 1500
Sasa sielewi ipi bei halal
 
1670785747688.png
 
Nappe tangu apewe Wizara amemtupia JPM vijembe 999. aka "Mungu fundi, kaamua ugomvi na mbaya wangu sasa napeta".
 
Ndugu zangu sina chuki,wivu wala sina ugomvi na mh.Nape,lakini ukweli sijaona chochote ambacho amefanya chenye maana ambacho kina manufaa kwa watanzania zaidi ya kusimama na matajiri kutukandamiza wanyonge.Kama kuna yeyote mwenye kujua atujuze,tuweze kumpongeza maana ni mwana jf mwenzetu kitambo sana.
Anapata % yake kutoka kwa hayo makampuni
 
Ndugu zangu sina chuki,wivu wala sina ugomvi na mh.Nape,lakini ukweli sijaona chochote ambacho amefanya chenye maana ambacho kina manufaa kwa watanzania zaidi ya kusimama na matajiri kutukandamiza wanyonge.Kama kuna yeyote mwenye kujua atujuze,tuweze kumpongeza maana ni mwana jf mwenzetu kitambo sana.
Alimbambika kesi ya uongo ya Rushwa Mgombea wa Chadema Suleiman Methew kwa kuitumia Takukuru
 
Ninachojua siku hizi anavaa kinaijeria msuli mkubwa na ndambi Kama fuko la mbolea sijui ndambi ile imejaa data za vifurushi vyetu,analamba tu asali.
 
Amekwenda kwenye Product launch party ya 5g ya vodacom, hafla zingine za tigo, airtel, dstv, startimes, tbc kifupi yeye ni mzee wa inner party.

Masuala mtambuka yanayowasumbua wananchi kama bei za bando kupanda ghafla wala haisikiki kutia neno. Sanasana ata tweet tuu. Kiufupi analamba asali.
 
Na sasa anakula meza moja na makampuni ya visimbuzi,mfano mzuri ni startimes kwa sasa hauwezi kupata free to air channel (local channels) mpaka ulipie,yaani wamezitoa zote wametuachia tbc tu na wakati hiki kitu kilipigwa marufuku enzi za rais aliyekuwa wa wanyonge.Nape aziangalie hizi kampuni za visimbuzi wameanza uhuni
 
Ndugu zangu sina chuki,wivu wala sina ugomvi na mh.Nape,lakini ukweli sijaona chochote ambacho amefanya chenye maana ambacho kina manufaa kwa watanzania zaidi ya kusimama na matajiri kutukandamiza wanyonge.Kama kuna yeyote mwenye kujua atujuze,tuweze kumpongeza maana ni mwana jf mwenzetu kitambo sana.
Linanenepa tuuu hana cha maana kwa nchi hiii
 
Mkuu seleiman methew alikuwa na nguvu gani hata ambambikiwe kesi?
Ukimuuliza Nape bila shaka atakujibu , kama kulikuwa na nguvu ya Methew mwenyewe au Chadema , bali hakuna mashaka kwamba Methew alikamatwa kwa kusingiziwa uongo wa kutaka kumhonga DED ili atangazwe mshindi .

Methew alienda ofisi ya Ded kuhakiki fomu zake ila akabadilishiwa kibao kwa hisani ya Mtukufu Nape
 
Tanzania ni nchi yenye kushangaza sana. Mtu kama huyo anakua waziri wa wizara.
 
Back
Top Bottom