Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Mpaka sasa hivi bado najiuliza ni kitu gani walikua wanahisi Nape ataongea mpaka nguvu kubwa kiasi kile itumike kujaribu kumzuia??? Tusaidiane wakuu
 
Dah!

Mimi si mpenzi wa CCM na si shabiki wa Nape ila hicho nilichokiona kwenye hiyo video sijakifurahia.

Kwangu haki ni haki tu.

Ni nini hasa kilipelekea yote hayo?

Kuna anayejua humu anieleweshe zaidi?
Mkuu haya yote ni kumlinda bashite
 
Isije ikawa huyo afisa usalama ni ukawa ndo mana kafanya hivyo mana nape na JK walialibu democracy nchini hadi mambo ya bao la mkono ni wao ongera kamanda kwa kumshughulikia nape naamini spirit ya ukawa ilikua ndani ya askari
 
Soma post # 423 ya uzi huu.
Hiyo post haina lolote la maana. Nenda kaongee hilo la kuweka mikono mifukoni kwa mkwe wa Mwangosi. Hivi mnadhani bastola ni funguo za gari kiasi kwamba unaweza ukaweka mfuko wa mbele na isijulikane kwamba ni bastola? Kama huyo askari alidhani kwa kuweka mikono mfukoni basi Nape alikuwa na silaha, ni lazima akafanye Sup ya mafunzo ya silaha.
 
Mwenye Identity ya Huyo askari anipatie. Je ni polisi, Jwtz,Ties au special forces?
 
hivi hakuna picha inayomuonesha vizuri tukamtambua raia inamaana picha zote zile hajatambulika humu kunakoitwa udaku
 
People at the top are not thinking rationally any more. By Tundu Lissu. Nina uhkika before April if this Bashite drama is not solved damu itamwagika
 
Nyie akina Humphrey polepole mnaojifanya makada mjifunze ktk hili,muda wwte mnaeza geukwa mkalatiliwa mbali.
 
Huu upuuzi wa kusema wameagizwa sijui wametumwa utatuweka tusipostahili
 
People at the top are not thinking rationally any more. By Tundu Lissu. Nina uhkika before April if this Bashite drama is not solved damu itamwagika
Tumuombe Mola wetu muumba wa mbingu na ardhi atuepushe na hayo. amani, upendo na ucha Mungu ututawale.
 
Hakika CCM MPYA haina mzaha hata kidogo.Hakuna asiyemjua Nape ndani ya CCM.Hakuna asijua Kazi kubwa aliyoifanya Nape ndani ya CCM.Najiuliza Nape kafanya kosa gani mpaka askari wa CCM amwonyeshe Bastola?Viongozi wa CCM hebu mwombeni radhi Nape mmemkosea sana.CCM bila Nape Na Kinana Leo msingekuwa Na Serikali kuweni waungwana.Nategemea mtakemea tabia ilizuka ya kutishana Kwa silaha.Juzi alikuwa Makonda Leo askari anamtisha Nape
 
Imekuwa nchi ya bunduki tupu sasa,dah laana ya LOWASSA mbaya.
 
Kuonyeshana bunduki ni sawa na kula nyama ya mtu, once started you will never stop. Nyerere aliliona hili mapema. Kuonyeshana bunduki ni kubaguana, mwanzoni tulidhani ni wapinzani wanaonyeshwa bunduki, lakini ona sasa hats kada kindakinda Wa ccm kaonyeshwa.
 
Wewe hili tu la leo limekushangaza hivi, umewahi kujiuliza mama jesca ameshangaa mangapi toka amjue John??

Shauri yao watashangaa mengi, mtu waliona kabisa mama Jesca wala hamsupport maana anajua mengi, wao wakadai wataisoma namba, acha waisome tu
 
Back
Top Bottom