Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mwendasake alikuwa anapanga awe Rais mwaka 2030.Acha uongo una ushahidi unayoyasema? Vipi umeshahama Chagadema au? CCM itatawala mpaka mwisho wa kiama kwa akili hizi za upinzani
Kolomelo la nini mbele ya kiroboto..nyunyuzia Dawa viloboto wote.Yaqn.hili.ndio tatizo.la nape.
Hahahahahahahahahahahahah.......
Hana kolomero kabisa.
Kama hii siyo fake basi Nape yupo kwenye usingizi wa pono.
Ccm ya Polepole ilikuwa inaheshimika mbele ya jamii kuliko Ccm ya Nape walikuwa wanazomewa kila mahali.
Kama anabisha asubiri 2025 aone nani mwenye nguvu kwa wananchi kati ya Nape na Polepole.
Watanzania siyo wajinga tena ndiyo maana hata wakitangaza mgao wa umeme wanatukanwa kila kona
Utajua hujuiWenyewe wanaofukuza machinga ,kupandisha bei ya bidhaa ,mgao wa umeme na maji?
Sasa hauoni kuwa wanaojiita wenyewe ndiyo washamba
Baada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii;
"Aaaah kiroboto🤣🤣ulishindwa akiwepo godfather utaweza leo?!!? Kina wenyewe shekh! Lakini ni kawaida punda roho ikiwa inaacha mwili hutupa mateke 🎼NONSENSE!!"
View attachment 2040636
View attachment 2040592
Nnape wa bao la mkono upinzani ulipata wabunge wangapi na madiwani wangapi na chini ya uchakubimbi wa Polepole aka kiroboto upinzani ulishinda majimbo mangapi na madiwani wangapi?Nafuu polepole..Nape Ni wa hovyo Sana..Jikumbusheni nape wa bao la mkono..
mbona kama anajulikana kabisa..Kiroboto tena?
Muda siyo mrefu kigogo atajulikana.
Na amewahi kudhalilishwa kwa kutishiwa risasi hadharani na kufukuzwa uwaziri...Sasa tunaanza kuwaelewa waliosema kitambo kuwa akili ndogo kutawala akili kubwa. Huyu tunategemea miaka 10, 20 ujayo atakuwa miongoni mwa wazee kama Mzee Warioba, Msekwa, Salim na watakuwa wanaenda kuombwa ushauri kutokana na uzoefu wao.
Cha uhakika ni kuwa akili yake hii huenda ndio akili ya 'genge' lao ambalo juzi tu tumempoteza rais wa nchi kutoka chama chao na tunadhani bado wanaomboleza lakini haoni staha yoyote ya kusema kuwa 'godfather wako....', very sad indeed.
Kukumbushana tu, huyu aliwahi kuwa mbunge, katibu mwenezi taifa na kibaya kabisa amewahi kuwa waziri na huenda baadhi ya maamuzi tunayoenda nayo leo yalipitishwa chini yake.
Ukisikia maana ya nchi kukosa mwelekeo basi leo unaweza kushuhudia
CCM ya Nape kuzomewa inamaana kulikua na uhuru wa kuongea na kutoa maoni. CCM ya Polepole waliotoa hoja waliuwawa kama Ben Saanane, waandishivwa habari za uchunguzi wakipotea kama Azory Gwanda.
Actions speak louder than words.Hivi ni nani alipitishaga ile sheria mpya ya vyombo vya habari🤔🤔
Haya mambo hayataki hasira💣💣