Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Pole pole haamini Kama chama kimerudi kwa wenyewe.
Akubali matokeo.
2025 atafute kibarua kingine
chama ni CCm na ndicho chenye serikali, kwa lugha nyepesi inchi ina wenyewe. Ina maana wewe na mimi hatuna chetu, ikiwa ni pamoja na huduma za jamii. Hivyo kauli kama hizo ni za hovyo sana kwa raia wema kama sisi. Sina interest na chama chochote lakini kauli kama hizo ni matusi kwa raia.
 
Sina uhakika kama itatokea tena hii NCHI akapewa mtu mwenye roho ya kimasikini kutawala watanzania... hatutakiwi kulaumu kilichotokea yote ni mapenzi ya mungu.. Polepole na waliomtanguliza mbele wajipange wakapanginga maana mama amejifunza vzr sana nguvu aliokuwa nayo kutoka kwa Mwendazake , hawatokuja kuamini watakachokiona.
 
Juzi katuwekea kumbukumbu za marehemu baba yake akilazimisha nchi imtambue ilihali hilo halitawezekana,
Kila mara utasikia mzee kafamyia nchi hii makubwa, makubwa yapi labda ya kuandaa mafisadi kama alivyo mwanae na timu yake
Ulishawahi skia mzee Nnauye akituhumiwa kumdhru Mtanzania yeyote??!!!
 
Kama aliyoyasema Nape kwenye twiter yake siyo fake basi Nape yupo kwenye usingizi wa pono.

Ccm ya Polepole ilikuwa inaheshimika mbele ya jamii kuliko Ccm ya Nape walikuwa wanazomewa kila mahali.
CCM ya Polepole ilijari wanyonge ambao ndiyo wapiga kura, ilitekeleza miradi ya matrillioni ya shillingi kwa manufaa ya watanzania.
Chini ya Polepole walijitokeza maelfu ya watu wanaoomba uongozi wa ubunge kupitia ccm na chini yake wakapata ushindi wa zaidi ya 84%

Kama anabisha asubiri 2025 aone nani mwenye nguvu kwa wananchi kati ya Nape na Polepole.

Watanzania siyo wajinga tena ndiyo maana hata wakitangaza mgao wa umeme wanatukanwa kila kona
Acha kudanganya watu Wana akili timamu Yani kwa akili yako uchaguzi wa mwaka Jana kweli ulikua uchaguzi?Pole Sana kwa kujitoa akili.Huyo Polepole wako kwanza Hana Hekima wa busara maana kwa levo yake kama kiongozi huwezi kila siku unaongea pumba kiasi hicho .Wewe na yeye wote akili zenu zimeshachoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii;


"Aaaah kiroboto🤣🤣ulishindwa akiwepo godfather utaweza leo?!!? Kina wenyewe shekh! Lakini ni kawaida punda roho ikiwa inaacha mwili hutupa mateke 🎼NONSENSE!!"
View attachment 2040636
View attachment 2040592
Mzee wa kuomba msamahaaa...hivi kumbe unaweza kutembea kwa miguuu kutoka geti la ikulu hadi reception
 
Acha uongo una ushahidi unayoyasema? Vipi umeshahama Chagadema au? CCM itatawala mpaka mwisho wa kiama kwa akili hizi za upinzani
Hapana unakosea CCM haiwezi kutawala milele Mana kanuni ya vyama vya siasa huzaliwa,hukua na hatimae hufa.Tanzania ndo itakaa milele tu vyama ni vya muda tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chama ni CCm na ndicho chenye serikali, kwa lugha nyepesi inchi ina wenyewe. Ina maana wewe na mimi hatuna chetu, ikiwa ni pamoja na huduma za jamii. Hivyo kauli kama hizo ni za hovyo sana kwa raia wema kama sisi. Sina interest na chama chochote lakini kauli kama hizo ni matusi kwa raia.
Mbona hukusema haya wakati dikteta akigawa rasilimali za nchi na vyeo kwa upendeleo?!! Wakati akibomoa nyumba za wengine na zenu akisema zisiguswe sababu ninyi ni kabila lake?!!!
 
Anastahili kuitwa kiroboto, kwani uwavunjia heshima wenzake kwa kuwaita wahuni, na walikuwa wanakusudia kuwamaliza, maneno yanamtoka wakati watu wameshambuliwa kwa risasi, watu wametekwa na wengine hawaonekani hadi leo, pia watu wametolewa bastola adharani, hiyo yeye anajuwa na uenda alishiriki kufanikisha uovu huo, astahili heshima hata kidogo!
 
Ushauru wangu kwa mama Samia ris wetu control Hawa watu sampuli ya Nape ambao wanajitahidi kuonyesha ccm ya magufuli no tofauti na yako hata Kama mnatofautiana mawazo ktk uendeshaji was nchi we'we mama na magufuli but kwa mtu mwenye hekima na maarifa hawezi ku behave mithili ya.Nape.

Akumbuke kuwa Magufuli angeweza kutokuteuwa were 2020 kuwa makamu wake so nice vema mumpe heahima yake,

Isitoshe magufuli bado anaishi kwenye vichwa vya watanzania so kumfanya kuwa alikuwa kongozI wa hovyo ajuwe kuwa yeye ndo atakuwa hovyo kbisa.

Hebu tuache huu upumbavu usio na mfano. Tusiigawe hi nchi kwa watu wajinga Kama Nape.
 
Mbona hukusema haya wakati dikteta akigawa rasilimali za nchi na vyeo kwa upendeleo?!! Wakati akibomoa nyumba za wengine na zenu akisema zisiguswe sababu ninyi ni kabila lake?!!!
"Hakusema chama kina wenyewe" Kauli ya chama kina wenyewe ni za ovyo kupata kutokea. Hata Nyerere na wenzake walioanzisha hawakusema upuuzi huo.
 
Baada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii;


"Aaaah kiroboto🤣🤣ulishindwa akiwepo godfather utaweza leo?!!? Kina wenyewe shekh! Lakini ni kawaida punda roho ikiwa inaacha mwili hutupa mateke 🎼NONSENSE!!"
View attachment 2040636
View attachment 2040592
Ni moja ya kauli mbaya sana kutolewa na mtu aliyejinadi kumkashifu Mzee Lowasa kwa kutoa kauli ya kujivua gamba akiamini kuwa CCM ni mfumo na haina mwenyewe, ila baada ya kupokea rushwa ya Mil 800 na Dkt Magufuli kumuondoa kwa sababu ya kukosa uadilifu leo roho inamuuma akiamini kuwa CCM ina wenyewe?? Hivi hajui CCM ni mfumo ambao hauna mtu wa kudumu??? Nadhani wenye nchi wameusoma na watauchambua vizuri sana huu ujumbe wake ili kujua alimaanisha nini na inahusiana vipi na kongamano la Marehemu Mzee Brig. Nauye.
 
"Hakusema chama kina wenyewe" Kauli ya chama kina wenyewe ni za ovyo kupata kutokea. Hata Nyerere na wenzake walioanzisha hawakusema upuuzi huo.
Ndo hivyo sasa. Ninyi mliwabagua watanzania kwa kuwabomolea nyumba zao na kuwafanyia maovu debe; na ninyi sasa leo mmeambiwa chama kina wenyewe....
Ni titi for tat. Wee unavoambiwa auae kwa upanga atauliwa kwa upanga ulizan ni mpaka liwe ni lile panga la kukatia majani?!!
Nikukumbushe tu Hakuna uovu unapita duniani bila kulipwa mzee...mtalipa hadi tone la mwisho la maovu yenu mliyowafanyia watanzania
 
Maswali ya Polepole ni ya msingi. Wasimshambulie kwa mipasho.
Lkn mkuu hata kipind cha kina slow slow ukihoji maswal ya msingi utaishia ku pyupyupyu au unapotezwa! Viongoz wa Africa wengi hawapend kuambiwa ukwel, hiyo kwao ni jinai
 
Huyu nae ni Mbunge aliyewahi kuwa Waziri ? Anyway since alikuwa waziri wa Sanaa anatendea Haki Fani yake....
 
Hapa ndipo inapoonekana tofauti kati ya Nape na Polepole, wakati Nape anajiweka mbele kila wakati ili akumbukwe kwenye ufalme wa ulaji aliotolewa.

Polepole anasema anachokiamini bila kujali kama anachosema mbele ya safari kitamgharimu nafasi aliyonayo bungeni, kwasasa Nape ndie kiongozi wa kundi la wachumia tumbo wa nchi hii.

Pole pole hana anachokiamini
Anachofanya ni vita ya kukosa mkate. Awamu iliyopita Polepole alikuwepo na hatukuwahi kumuona anakosoa kwa sababu alikuwa kivulini akitembelea V8 leo yuko nje ya ringi anapiga kelele. Kwanza hana umaarufu kwa anavyodhani, binafsi namuona mnafiki sana

Polepole wa Rasimu ya Katiba sio Polepole wa awamu ya Magufuli.
Akitulizeeee
 
Polepole yupo na wananchi ndiyo maana viewers ni wengi sana kwake .

Nape na Makamba wanajulikana ni timu msoga ( wapigaji)
Wananch gan mkuu 🤣🤣 maan kipind chao hakuna asiejua jins wakosoaji walivyokua wanafanywa! This is Africa nigga!! Kusema ukweli juu ya makosa ya viongoz ni jinai inaeza pelekea kutolewa uhai mkuu 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom