fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,809
- 8,032
Hakika mkuu ruaharuahaSiku zote wanajiona, wanafikiri wamezaliwa kutawala. Katiba mpya itasaidia kuondoa huu upuuzi wa kupendelea wachache, jina la baba yako, unanijua mimi ni nani.
Itawapa fursa vijana wenye akili, maono, wanaolipenda taifa kuweka maslahi ya taifa mbele.
Wanasahau wazee, baba zao, Enzi zile wote tulikuwa maskini wa kujitambua, elimu ya darasani.