Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
chama ni CCm na ndicho chenye serikali, kwa lugha nyepesi inchi ina wenyewe. Ina maana wewe na mimi hatuna chetu, ikiwa ni pamoja na huduma za jamii. Hivyo kauli kama hizo ni za hovyo sana kwa raia wema kama sisi. Sina interest na chama chochote lakini kauli kama hizo ni matusi kwa raia.Pole pole haamini Kama chama kimerudi kwa wenyewe.
Akubali matokeo.
2025 atafute kibarua kingine
Actions speak louder than words.
Ulishawahi skia mzee Nnauye akituhumiwa kumdhru Mtanzania yeyote??!!!Juzi katuwekea kumbukumbu za marehemu baba yake akilazimisha nchi imtambue ilihali hilo halitawezekana,
Kila mara utasikia mzee kafamyia nchi hii makubwa, makubwa yapi labda ya kuandaa mafisadi kama alivyo mwanae na timu yake
Acha kudanganya watu Wana akili timamu Yani kwa akili yako uchaguzi wa mwaka Jana kweli ulikua uchaguzi?Pole Sana kwa kujitoa akili.Huyo Polepole wako kwanza Hana Hekima wa busara maana kwa levo yake kama kiongozi huwezi kila siku unaongea pumba kiasi hicho .Wewe na yeye wote akili zenu zimeshachoka.Kama aliyoyasema Nape kwenye twiter yake siyo fake basi Nape yupo kwenye usingizi wa pono.
Ccm ya Polepole ilikuwa inaheshimika mbele ya jamii kuliko Ccm ya Nape walikuwa wanazomewa kila mahali.
CCM ya Polepole ilijari wanyonge ambao ndiyo wapiga kura, ilitekeleza miradi ya matrillioni ya shillingi kwa manufaa ya watanzania.
Chini ya Polepole walijitokeza maelfu ya watu wanaoomba uongozi wa ubunge kupitia ccm na chini yake wakapata ushindi wa zaidi ya 84%
Kama anabisha asubiri 2025 aone nani mwenye nguvu kwa wananchi kati ya Nape na Polepole.
Watanzania siyo wajinga tena ndiyo maana hata wakitangaza mgao wa umeme wanatukanwa kila kona
Mzee wa kuomba msamahaaa...hivi kumbe unaweza kutembea kwa miguuu kutoka geti la ikulu hadi receptionBaada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii;
"Aaaah kiroboto🤣🤣ulishindwa akiwepo godfather utaweza leo?!!? Kina wenyewe shekh! Lakini ni kawaida punda roho ikiwa inaacha mwili hutupa mateke 🎼NONSENSE!!"
View attachment 2040636
View attachment 2040592
Hapana unakosea CCM haiwezi kutawala milele Mana kanuni ya vyama vya siasa huzaliwa,hukua na hatimae hufa.Tanzania ndo itakaa milele tu vyama ni vya muda tu .Acha uongo una ushahidi unayoyasema? Vipi umeshahama Chagadema au? CCM itatawala mpaka mwisho wa kiama kwa akili hizi za upinzani
Mbona hukusema haya wakati dikteta akigawa rasilimali za nchi na vyeo kwa upendeleo?!! Wakati akibomoa nyumba za wengine na zenu akisema zisiguswe sababu ninyi ni kabila lake?!!!chama ni CCm na ndicho chenye serikali, kwa lugha nyepesi inchi ina wenyewe. Ina maana wewe na mimi hatuna chetu, ikiwa ni pamoja na huduma za jamii. Hivyo kauli kama hizo ni za hovyo sana kwa raia wema kama sisi. Sina interest na chama chochote lakini kauli kama hizo ni matusi kwa raia.
Kwa hiyo wewe ulifikiri ccm ni ya dikteta?Chama kina Wenyewe - Kumbe CCM iko mifukoni mwa watu wachache kumbe. Ina maana wana uwezo wa kufanya wanachotaka na ata nchi iko mfukoni mwa wachache. Africa kuna shida sana.
"Hakusema chama kina wenyewe" Kauli ya chama kina wenyewe ni za ovyo kupata kutokea. Hata Nyerere na wenzake walioanzisha hawakusema upuuzi huo.Mbona hukusema haya wakati dikteta akigawa rasilimali za nchi na vyeo kwa upendeleo?!! Wakati akibomoa nyumba za wengine na zenu akisema zisiguswe sababu ninyi ni kabila lake?!!!
Acha tu mkuuChama kina Wenyewe - Kumbe CCM iko mifukoni mwa watu wachache kumbe. Ina maana wana uwezo wa kufanya wanachotaka na ata nchi iko mfukoni mwa wachache. Africa kuna shida sana.
Ni moja ya kauli mbaya sana kutolewa na mtu aliyejinadi kumkashifu Mzee Lowasa kwa kutoa kauli ya kujivua gamba akiamini kuwa CCM ni mfumo na haina mwenyewe, ila baada ya kupokea rushwa ya Mil 800 na Dkt Magufuli kumuondoa kwa sababu ya kukosa uadilifu leo roho inamuuma akiamini kuwa CCM ina wenyewe?? Hivi hajui CCM ni mfumo ambao hauna mtu wa kudumu??? Nadhani wenye nchi wameusoma na watauchambua vizuri sana huu ujumbe wake ili kujua alimaanisha nini na inahusiana vipi na kongamano la Marehemu Mzee Brig. Nauye.Baada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii;
"Aaaah kiroboto🤣🤣ulishindwa akiwepo godfather utaweza leo?!!? Kina wenyewe shekh! Lakini ni kawaida punda roho ikiwa inaacha mwili hutupa mateke 🎼NONSENSE!!"
View attachment 2040636
View attachment 2040592
Ndo hivyo sasa. Ninyi mliwabagua watanzania kwa kuwabomolea nyumba zao na kuwafanyia maovu debe; na ninyi sasa leo mmeambiwa chama kina wenyewe...."Hakusema chama kina wenyewe" Kauli ya chama kina wenyewe ni za ovyo kupata kutokea. Hata Nyerere na wenzake walioanzisha hawakusema upuuzi huo.
Lkn mkuu hata kipind cha kina slow slow ukihoji maswal ya msingi utaishia ku pyupyupyu au unapotezwa! Viongoz wa Africa wengi hawapend kuambiwa ukwel, hiyo kwao ni jinaiMaswali ya Polepole ni ya msingi. Wasimshambulie kwa mipasho.
Hapa ndipo inapoonekana tofauti kati ya Nape na Polepole, wakati Nape anajiweka mbele kila wakati ili akumbukwe kwenye ufalme wa ulaji aliotolewa.
Polepole anasema anachokiamini bila kujali kama anachosema mbele ya safari kitamgharimu nafasi aliyonayo bungeni, kwasasa Nape ndie kiongozi wa kundi la wachumia tumbo wa nchi hii.
Wananch gan mkuu 🤣🤣 maan kipind chao hakuna asiejua jins wakosoaji walivyokua wanafanywa! This is Africa nigga!! Kusema ukweli juu ya makosa ya viongoz ni jinai inaeza pelekea kutolewa uhai mkuu 🤣🤣🤣🤣Polepole yupo na wananchi ndiyo maana viewers ni wengi sana kwake .
Nape na Makamba wanajulikana ni timu msoga ( wapigaji)