Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Kabisa kabisa.
Tena kwa kias kikubwa alishiriki
 
Hapana unakosea CCM haiwezi kutawala milele Mana kanuni ya vyama vya siasa huzaliwa,hukua na hatimae hufa.Tanzania ndo itakaa milele tu vyama ni vya muda tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama hakuna chama mbadala inakuwaje hapo!? Watz mwaka kati 2010 na 2015 waliichoka sana CCM ikiwemo mimi lakini sasa unakipa Chama gani cha maana zaidi ya CCM kwa sababu vyama vilivyobaki ni SACCOS za watu binafsi siyo kama taasisi kama ilivyo CCM at least.
 
Man hunting will lead to Samia downfall, Nilikuwa nawaambia hapa wanamtandao wapo ndio hai akina nape
 
CCM ya Nape kuzomewa inamaana kulikua na uhuru wa kuongea na kutoa maoni. CCM ya Polepole waliotoa hoja waliuwawa kama Ben Saanane, waandishivwa habari za uchunguzi wakipotea kama Azory Gwanda.
CCM ya Nape, wapo wengi waliuwawa, Mawazo wa Geita, waandishi kumwagiwa tindikali na kutobolewa macho, Muulize Kibanda, Mwandishi wa habari kuuwawa Iringa, Dr. Mvungi alilalamika anafuatiliwa baadae kuvamiwa na kukatwa mapanga hatimae kifo. Muulize Dk. Ulimboka kutekwa kung'olewa kucha kisa kudai haki za madakitari.
Nyani haoni kundule!
 
So wewe ni mmoja wapo unaeshangilia mgao wa umeme?
Nadhan hoja hapa sio mgao wa umeme mkuu, ni vema ukaanzisha bandiko juu ya mgao wa umeme tuchangie mkuu! Halaf kuna mamb yanatakiwa yawe handled technically na sio politically!!
 
Slow slow atakuwa alihusika kumteka Nepron na kumlazimisha akaombe radhi! Sasa Godfather ame RIP kila mmoja sharubu mlima
 
Unaniweka kwenye makundi yenu mnayofanya wakati mimi sipo kwenye makundi hayo anyway. Usiwe unaandika vitu vya kufikirika havikusaidii, katubu.
 
Kwani JPM alikua msukuma?Mbona huo ni uongo JPM alikua Msubi hili kabila linapatikana karagwe na badae walihamia waliya ya biharamulo ndo ikagawanywa na kupatikana wilaya ya Chato.Kuhusu JPM kuongea lugha ya kisukuma ni kwamba hili kabila limemezwa na utamadini wa kisukuma nazani mmeelewa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaniweka kwenye makundi yenu mnayofanya wakati mimi sipo kwenye makundi hayo anyway. Usiwe unaandika vitu vya kufikirika havikusaidii, katubu.
Leo ndo umejua kukataa makundi?!! Hujui makundi yameasisiwa na dikteta na wewe ulikuwa kundi la dikteta!
 


Hawa ni pwagu na pwaguzi hawana tofauti zaidi ya kutafuta nafasi za uongozi tu
 
Sauti ya Nape ni ya wale wengi walioumizwa na yaliyokuwa yakiendelea ndani ya chama wakati wa kipindi cha utawala wa JPM. Polepole ni lazima atambue majira na nyakati.

Kipindi cha utawala wa JPM kiliwakwaza sana CCM asilia na CCM wana mitandao. Hivyo walijua mbinu sahihi ya kumuua kobe ni kupitia muda sahihi wa kuvizia pale shingo ya kichwa chake kitakapikuwa nje ya gamba lake.

Polepole, gamba la kobe liliishia siku ya kumlaza sehemu yake tulivu pale Chato, huna ujanja wowote ule hivi sasa, ni lazima shingo yako itoke nje ya gamba sasa. Panga kali linaisubiri shingo yako ili kuitenganisha na kiwiliwili kilichobakia ndani ya mwili wa kobe.

Umekwisha kuambiwa kuwa chama kina wenyewe. Tulia na uwe mpole, la sivyo ndiyo unaondolewa katika ramani ya kisiasa ndani ya chama chako.
 
Spana zinafanya kazi!
=====
Hizi lugha za kuitana wadudu ndizo zilisababisha mauaji ya kimbali Rwanda, watu wakaitana mende, pia zilichochea vurugu za kumpinga Gaddafi wa Libya kwa kuwaita wahuni wa Benghaz panya na kusababisha usambaratishaji wa Libya. Hata Kenya madhila yao wakati fulani yalichangiwa na lugha za namna hii.

Nape anahatarisha usalama wa Taifa la Tanzania. AOnywe na kuonyeka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…