Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

Najiuliza sana kwa mtu kama Ben.Membe kurudishiwa kadi .....NAPE INAMHUSU vipi?? Naona kama anatumika tuu....
 
huyu nAPEanajisahau sana kupitia magodi faza(kikwete,makamba wake) ndani ya chama ccm kwa jina la mzee mnauye. amekuwa na kiburi na domo kaya sana wakiona wao ndio wenyewe kwenye ccm. hapo anachofurahia ni magufuli kufa ZILEEEE NDOTO ZAO ZA HIZO FAMILIA(januari makamba,riziwan kikwete, na hilo nape domokaya) kushika madaraka ya nchi. wanafikiria membe aje kuwa mgombea mwenza 2025 ili kuandalia njia hawa watoto vilaza wezi(WEZI WA MITIHANI). kenge kweli hawa watu
 
Najiuliza sana kwa mtu kama Ben.Membe kurudishiwa kadi .....NAPE INAMHUSU vipi?? Naona kama anatumika tuu....
nape si ndio aliachiwaga jimbo la mtama na membe(aliekuwa mgombea wao urais 2015 kabla ya lowassa kuwazuru na kupatikana magufuri), kwa hiyo hilo nape kubwa jinga halina siasa za maturity kabisa,linaendelea na ujinga uleule
 
L

Magufuli ataendelea kusemwa mpaka mwisho wa nyakati. Anasemwa kwa uovu wake uliopitiliza. Ukatili, chuki, wizi, uuaji, ukabila, ubinafsi, kujikweza nk. Asante Mungu kwa kuingilia kati kutuondolea aibu ile
na iwe funzo kwa serikali na ccm kwamba katiba yasasa mbovu kwani inahitaji kupatikana kwakiongozi mwenye huruma akikengeuka tumekwisha
 
Nape yeye mwenyewe ni mwizi wa kura ,wizi ni wizi tu ni sawa na mwizi wa kuku . Tatizo linakuja mwizi wa kura anapojiona malaika .
 

Kifo Cha Magufuli kimemrudisha membe CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…