Nape Nnauye: Tukosoane kwa hoja na lugha za staha. Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania

Eti Mungu ameamua ugomvi!!!
 
Matusi noma,ubaguzi noma uongo noma,kulogana noma

Hoja YES! Constructive criticism YES!

KATIBA MPYA YES! YES! YES!

Witch hunt noma sana.
 
ingependeza mje na jibu lakisheria wapi ,pamekosewa kuliko kuja Tena na lugha ya kitapeli
 
Nape Nnauye ni choko sana, Magufuli walimtukana hakujua kwamba kina baba wote wanatukanwa? Pathetic!

Aache watu wateme nyongo,ndio demokrasia hiyo au?
 
Kama hawataki kutukanwa inabidi wafanye kazi kwa maslahi ya umma na siyo kama wanavyopuyanga kwa kuiingiza nchi kwenye matatizo yatakayodumu vizazi na vizazi vyetu.wengine hawawezi kuvumilia hasira zao pale wanapoona wahuni wanauza nchi yao;hivyo,ili kupunguza hasira zao wanaamua kuwatukana wanaoharibu nchi kama hawa tulionao kwa sasa.
 
Lakini pia lazima ujue kuwa heshima ni "two way traffic". Heshimu ili nawe uheshimiwe. That's all..!

Unawezaje kutaka uheshimiwe wakati wewe huyohuyo humheshimu unayetaka akuheshimu..?

Haya yatakuwa maisha ya kawaida kweli? Si yatakuwa maisha ya kitumwa hayo??

Wewe Pascal Mayalla unataka kuwa mtumwa wa mtu awaye yeyote?
 
Mtu mshenzi anapojifanya msitarabu, watu wenye hekima hua wanamwangalia kwa jicho hasira. Huyu bedui leo hii wakuyaongea haya!!? Tatizo la viongozi wakishaa kaa kwenye viti, wanaona watanzania hawana akili.
Huyu Nape alishindwa hata kupata C O level ambayo ilikuwa ni 41 % tu. Leo anajiona ana akili kuliko Watanzania wengi kwa kuwa tu ameteuliwa. Hii nchi tuna safari ndefu sana.
 
Huna Akili wewe na wewe ushatukana pia kuwafananisha wamama zetu kama Samaki... Samaki akioza mmoja ndio wote huoza so upumbavu wako tafuta mifano mingine na ili kujua mifano rudi shule tena
 
..ufisadi wa mama mmoja ni ufisadi wa kina mama wote Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…