Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa mfanoSio kila kinachofanyika kina baraka za Mama!.
P
Eti Mungu ameamua ugomvi!!!“Tukosoane, turekebishe, tutoe maoni bila ya kutukanana. Baba wa Taifa Mwalimu Nyerer alitufundisha tukosoane kwa hoja bila ya kutukanana. Kosoeni, toeni maoni, msidhalilishane na wala msitukanane na hasa inapokuwa ni Rais wa Nchi yetu mana yeye ni sura yetu sote”. Amesema Nape
Nape Nnauye ni choko sana, Magufuli walimtukana hakujua kwamba kina baba wote wanatukanwa? Pathetic!Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amewataka watanzania kutotumia lugha za matusi kukosoa jitihada mbalimbali zinazofanywa nchini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Waziri Nape ameyasema hayo leo Julai 18 Mkoani Dar es Salaam alipokuwa akizungumza Katika Kongamano la Majadiliano ya Ripoti ya Tume ya Haki Jinai lililohudhuriwa na Wataalamu, Viongozi Wastaafu, Watumishi wa Serikali na Wanafunzi.
Nape amesema kuwa Rais Samia alipowaapisha Viongozi wa Wizara ya Mipango na Uwekezaji amewataka Viongozi hao wawasikilize wakosoaji wote na ikiwezekana wawajumuishe kwenye michakato mbalimbali ya kuboresha mambo mbalimbali katika nchi yetu na kusema kuwa kitendo cha baadhi ya wananchi wakiwemo wanasiasa kutumia lugha zisizofaa wanapotoa maoni yao sio sawa.
“Tukosoane, turekebishe, tutoe maoni bila ya kutukanana. Baba wa Taifa Mwalimu Nyerer alitufundisha tukosoane kwa hoja bila ya kutukanana. Kosoeni, toeni maoni, msidhalilishane na wala msitukanane na hasa inapokuwa ni Rais wa Nchi yetu mana yeye ni sura yetu sote”. Amesema Nape
“Kutukanwa kwa Mama ni kosa na hata kama hajakuzaa moja kwa moja unapomtukana basi ni sawa na kutukanwa kwa wazaza wote, tunao wajibu wa kuwaadhibu wote wanaotukana wazazi wa Nchi hii, kwani wazazi hawa wametulea, wametutunza, wametufikisha hapa tulipo salama na tusisahau kuwa utamaduni wa nchi yetu ni kuheshimiana” Ameongeza Waziri Nape.
Waziri Nape pia amempongeza Rais Samia kwa nia yake ya dhati kutaka kuona haki ikitendeka nchini na kusema kuwa mageuzi anayofanya katika kuboresha na kukusanya maoni ya watanzania kuhusu maboresho ya taasisi zinatoa haki nchini.
“Tunaposhuhulika na Haki Jinai, moyo wa Rais unataka haki. Haki italiinua Taifa letu,” amesema Nape.
Kaka Pasakli,Naunga mkono hoja, hili hata mimi nimelizungumza na kushauri Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
P
We mpu... mbavu ni mweupe mnoTukiachana na Nape,Ila jamaa ushamba ulimzidi hadi kimo.
Lakini pia lazima ujue kuwa heshima ni "two way traffic". Heshimu ili nawe uheshimiwe. That's all..!Naunga mkono hoja, hili hata mimi nimelizungumza na kushauri Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
P
We mbwa tulishakuzoea hazikutoshiHilo la ushamba wa yule dhalim halina ubishi.
Huyu Nape alishindwa hata kupata C O level ambayo ilikuwa ni 41 % tu. Leo anajiona ana akili kuliko Watanzania wengi kwa kuwa tu ameteuliwa. Hii nchi tuna safari ndefu sana.Mtu mshenzi anapojifanya msitarabu, watu wenye hekima hua wanamwangalia kwa jicho hasira. Huyu bedui leo hii wakuyaongea haya!!? Tatizo la viongozi wakishaa kaa kwenye viti, wanaona watanzania hawana akili.
Huna Akili wewe na wewe ushatukana pia kuwafananisha wamama zetu kama Samaki... Samaki akioza mmoja ndio wote huoza so upumbavu wako tafuta mifano mingine na ili kujua mifano rudi shule tenaWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amewataka watanzania kutotumia lugha za matusi kukosoa jitihada mbalimbali zinazofanywa nchini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan.