4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Sitoandika mengi hapa kwako Nape,
Yani vifurushi leo unakuja na lugha laini ila ikipita miezi kadhaa wazunguka huko huko huenda kutekeleza malengo yako, maana mmeishajua mwenye nchi wasahaulifu, watapiga kelele, ila nyie mwala mema ya nchi, hivi mwafikili hizi pesa za dhuluma mtazikwa nazo kaburini.
Tunajua hakuna kiongozi wa Taifa hili asietumia simu, so wewe umekaa hapo ofisi unapoamua jinunulia kifulushi KWa matumizi yako binafsi huoni uhuni wafanyapo hawa ndugu zako wa mitandao ya simu? Jibu hapa.
Yapo mambo magumu kutrace ila sio kwenye vifurushi, moja ya huduma unayotumia kila siku, na Kama hujui hayo ni matatizo binafsi ya kwako.
Sasa nakuamuru na sio ombi, achia kiti hicho Mara moja, huna Sababu ya kukalia kiti hicho, asema Bwana!