Nape ondoka Wizarani bila shuruti, kwa sasa hupendwi na Wananchi na Mungu pia

Nape ondoka Wizarani bila shuruti, kwa sasa hupendwi na Wananchi na Mungu pia

Kadri siku zinavyosogea ndivyo chuki yangu inaongezaka kwa CCM hakika hawa watu ni watu wahovyo sana hawafai kwenye maisha yetu hata chembe....Samia ni mmoja wa marais wa hovyo waliopita Tanzania mbaya zaidi anajificha katika kivuli cha uanamke.[emoji706][emoji706][emoji706].

NB:Haya yote yanatokea kwa sababu ya upuuzi wa watanzania tulio wengi nchi yetu lakini kila kitu tuna hisani ya CCM.
 
Nadhani baada za Nape kuondoka yule katibu mkuu wake ndiye achukue hiyo nafasi, nahisi anaweza kuwa mtu sahihi kwa kiasi chake.
 
Back
Top Bottom