Nape ondoka Wizarani bila shuruti, kwa sasa hupendwi na Wananchi na Mungu pia

Sio Nyape peke yake, yeyote anayedhani atalirudisha taifa hili lilikotoka kwa tamaa za wahuni wachache anajidanganya na anacheza na moto. Mungu ameukataa huu utawala, hata mvua anainyima nchi. Huyo Nyape wala asiumize watu vichwa soon atasahaulika kabisa kama aliwahi kuwa mwanasiasa kwenye nchi hii, hii inaenda kwa wale wenzie wanaojihisi ni wasiogusika. Kama alivyosema mwenyewe, "Mungu ameamua ugomvi" na itakua!
 
Wewe ndio huna hela ya kutosha ya kuongeza bando Nape hana habari na hilo
Hata Kama pesa ipo , ndo iwe ya sababu ya wizi wa wazi KWa makampuni aya chini ya backup ya wahuni wachache,

Kama aya makampuni hawawezi kutii serikali ,si waondoke, Kama ni ngum pia why Nape Kama waziri na wizara yake wasije na Mkakati wa haraka wa kuboresha shirika letu la TTCL, Ili lilete ushindani wenye tija na tuone Kama kweli aya makampuni yataendelea na ujinga wa namna hii

Watu wanapewa vyeo KWa thanks ndo maana tunaona Mambo ya ajabu ya namna hii, Kama sio thanks huwezi kalia office ya uma na kufanya Mambo ya ajabu ya namna hii,

Je sio kweli kwamba ikitokea sim ya NAPE ikakaguliwa haitakutwa na mawasiliano ya ajabu na ma co wa haya makampuni?

Nape ondoka kiti ichi
 
Sasa makampuni hayatii serikali wakati Nape ni mwana serikali?
 
Kupeana fadhila ndo umekuwa mzigo mkubwa kwa wananchi.
 
Wewe unapendwa na Wananchi na Mungu?
 
Baba yake alikua mtu maarufu sana hapa Nchini hawezi ondoka maana baba yake akisikia atakasirika.
 
Wizara niliyonaayo ni kubwa kuliko wizara yoyote hapa Duniani, ila nasema nyie mnaopewa wizara za chini fanya kazi , malipo utapata mengi hata bila ibia wenye nchi, umeelewa Nape ,Sina ugonvi na wewe ila nina ugonvi na dhamana uliyopewa
Jitokeze basi upewe Wizara kwa kigezo cha kupendwa.
 
Noted ✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…