Kichwa kubwa akili ndogo. Huyo ndio napy nauyaJe Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Boya sana huyo,Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Huyu dogo anawashwawashwa,
Anatafuta uteuzi
Sementi 20,000 bati za ragi 45000 sasa hivi kjjenga ni gharama kubwaNaomba aje huku kwetu Kijiji cha Mtakuja atuoneshe hizo hela zilizomwagika mtaani.
Watu tunaumia kuuziwa nondo 12mm shilingi 26,000 pc 1 wakati Serikali ambayo ndiyo regulator wa bei ipo na haichukui hatua kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi[emoji24]
Ila kweli jamaa anaonekana ni mweupe kichwani, labda lile sauti kubwa tu la kupayuka.....Kichwa kubwa akili ndogo. Huyo ndio napy nauya
Soon anarudi kwenye baraza.
Haha mikumi mbuga ya wanyama au mikumi nini ???Naunga mkono hoja! Hela zipo nyingi kitaa... Mama Mikumi tena
Hana Akili huyu Gharama za Maisha zimepanda ndio maana Mwendazake alimpigisha MAGOTIJe Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake