kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Kichwa kubwa akili ndogo. Huyo ndio napy nauyaJe Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake