Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Wanaogopa atatangaza kuhamia chadema
Kwani amesema anaenda kusema nini?? Au unafikiri kamaanisha nini akisema WANASAMBAZA?
Acheni kufikiria mnachotaka aseme, kawaambieni tulieni mshaanzakumlisha maneno!
 
Anaongea kwa jazba sana baada ya kuzuiliwa na bastola asishuke kwenye gari. Anawaita waliomtolea bastola kuwa ni wapumbavu
 
=======

UPDATES;


=======

13:08hrs:

Ametokea mtu anayeitwa Iddi Suleiman ambae ni meneja wa Protea na kudai mkutano hautakuwepo na waandishi walipombana nani kazuia, alisema akaulizwe RPC wa Kinondoni.

View attachment 485512

"what goes around comes back around" karibu Mh. Nape Tuisome namba,hope tutapigana kwa pamoja kurudisha bunge live.....
 
Nape yupo live AZAM wamemkataza kufanyia press CONF ndani ya Hotel
ve
 
Ni mafia wamekamata mpini wengine tumeshikilia makali.
 
Hahaha magufulia anazuia ukweli...

Ila ukweli nape alimuandikia barua ya kujiudhuru magufuli amemuwahi tu ili aonekane amemtumbua...

Time will Tell mapinduzi kuanza rasmi kesho!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…