Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Mkuu hawata elewa watz wengi WaPo Bob go music.
 
Ni watu wachache sana, kwa maoni yangu, wanaoweza kustahimili misukosuko, hili alilolifanya na kulisema linaonyesha ukomavu wa kiakili. Kukosa uwaziri siyo mwisho wa maisha (narejea moja ya post zangu), bado yeye ni kijana na mchango wake katika kukiimarisha chama na msimamo wake katika kutetea haki haviwezi kupotea bure. Kwetu sisi hili ni somo kubwa kuhusu siasa, nawaasa vijana wenzangu kufanya chaguzi sahii katika fani za kufanya kazi.
 

Kaka Wa Bukoba, Mbona conclusion zote umesema wewe? Na hakuna mwandishi hata mmoja aliyesema hayo uliyoyasema?
Waandishi wamekwenda pale kumsikiliza atasema nini, ni wajibu wao, au ulitaka wasiende??
Remember; Assumption is the mother of all fcuks.
 
Hii nchi inaelekea wapi jamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nape kwa ushababi WA kikoromo cha simba alikuwa akitamba juu ya Prado hata yule aliyemuonyesha mguu WA kuku alikuwa akitetemeka ILA Kwa sauti ile sizonje ikulu aliiona ndogo..
ILA hamjatujuza Mara baada ya pale alikwenda wapi na wale polisi waliomzuia..
 
hahahhaa chadema hawaishi vituko eti leo nape ni shujaa hahhahahha bora kaenda msaliti huyu......
Ndugu yangu mtu akifanya la maana lazima asifiwe akitibua alaaniwe, usiwe kama umenyweshwa dawa ya mapenzi na Magufuli. Nape atasifiwa na wote wanaojua haki za raia kasoro CCM wenye akili kama Makonda na Magufuli.
 
Leo yanaongelewa mazuri aliyoyaongea nape....lkn yale matusi sio habari ila ni ushujaa
 
MERCIFUL, ya nchi hii yanachosha! sasa ukiangalia viongozi wetu wa dini wenyewe hawajatulia ni shida tu kwa kweli, wanayakoroga wayanywe
Yanachosha kweli kweli na kuumiza kichwa. Yaani kuliko niende kwa mganga wa kienyeji ili wageuzwe inzi wacha tu nimgeukie Mungu kwa maombi na sala
 
Mapato ya serikali yamepungua...mmekimbilia kisingizio cha madawa ya kulevya...mnawabambikia watu kesi za madawa ya kulevya ili wawaonge pesa mle na mademu zenu na mahawara...uongozi wa kinafiki sana....
Vita ya madawa ni kichaka cha mabwana wawili......
Jicho la Mungu linaiangaza Tanzania, kila unafiki wa viongozi utaibuka mwaka huu........yametimiaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…