Mbona kashindwa kumuwajibisha Bashite?Kikwete :wauza madawa wana nguvu wamo wanasiasa pia maaskofu nikiwataja nchi hii inatikisika
Magufuli :vita hii hakuna kuangalia brand wala Jina wala Sura
Nape :Jamani ZOEZI hili litaua brand za watu
Magufuli :hata akiwa mke wangu akamatwe tu
Makonda :tumeamua kuanza hii vita ni kama kumwagia mafuta kwenye shimo kila nyoka atatoa kichwa
Makonda :na mimi ukitoa shimo nakugonga tu kichwa
Magufuli :makonda wewe chapa kazi
Nape :kazi hii ina gharama
Magufuli :MIMI NDIO RAIS LIA GARAGARA MIMI NDIO RAISI
NDEGE JOHN :UNGANISHA DOTS, ISHU SIO UHURU WA HABARI ISHU NI WAUZA NGADA KUBANWA VILIVYO
TANESCO :TUNAWAPA SIKU TANO MLIPE MADENI SUGU
WA PENDA UDAKU MATAPELI WAONGO :TWAFAAAA
WAZALENDO :HAPA KAZI TU
Kama amekimbia kivuli chake aliposema mwanzo maamuzi ya rais yapo ndani ya mamlaka yake,,,kwa hyo rais alipaswa kumtoa nape muda upi sahihi?? Je ni kwa sababu kamati iliundwa ilihali maamuz ya rais yameshapita au?
Wazo zuri sana maana akihamia chama chochote na kugombea ubunge kupitia huko atashinda tuNamshauri nape ajiuzuru ubunge na ajiondoe ccm...wakimwanga mbonga unamwaga ugali
Nilistuka kutenguliwa kwake lakini kitendo chake cha kuitisha 'press conference', kuelezea kutenguliwa, si kitendo cha busara kwa kiongozi ngazi ya Waziri.Duuhh balaa shujaa nape ongea tu
hahahhh nitakuhadithia hivi upo naona umetususa hutaki kuongea na sisi nitakuhadithia kwenye uzi wetu tukionanaNihadithie
Ccm ni wabaya sanandio Mlivyopanga?
umesahau kauli ya goli la mkono ndio iliharibu safari yetu ya matumainiNape mdogo wangu, kuikuta CCM inachungulia shimoni haikupi leseni ya kukiuka taratibu za utumishi au kiutawala.
Ulitakiwa ureport kwa Mamlaka yake ya uteuzi na uwaachie. Ulilofanya ni kudhalilisha Rais, Makamu wake pia Waziri mkuu. Ulikuwa na lengo zuri sana ila hukuwa na weledi wa kudeal nalo. RC ulimchukulia kama Paul Makonda na si Mkuu wa Mkoa. Ulikosea Mkuu wangu. Pumzika ufikirie upya.
Ila kauli za CCM ulikuta inachungulia shimoni ukainyanyua naona ndizo zilizokusukuma hata ukafanya uliyoyafanya. Si kweli kama ulinyanyua CCM mdogo wangu bali kuna mchango wako.
Wewe wakati huo hukuaminika mpaka na hawa wanaokupaka uji kwenye lips sasa. Mzee Kinana ndiye mwenye haki ya kunena hayo na si wewe.
Pole dogo. Lakini pia, ulikuwa na motive ya kumuondoa RC ambe pia hakuwa chini yako wewe. Ni kama mtu na mdogo wake. Hukuwahi kuhisi haya maumivu uliyonayo angeyapata kwa move uliyokuwa nayo? Nafahamu unaumia sana. Haya ni maisha tuu. Maisha ni mchakato na kujifunza pia.
Naamini hutorudia kufanya makosa makubwa kama haya eti kwa kuwa tu ulipigania chama. You are wrong mdogo wangu.
Cha mwisho, usichopenda kufanyiwa usimfanyie mtu mwingine Nape. Kazi njema.
yale n makavu live ila hajakosea kwakwelihahaha amempa magufuli za uso muvi imeanza
Somo kwa wanasiasa- tunga sheria na katiba iliyo na maslahi mapana kwa taifa siyo sheria au katiba ambayo siku za usoni inakubana hadi kupelekea kufanya press conference BARABARANI.A lesson has been learned.
Hivi ndivyo walivompa shukurani NapeASKARI MNATUMIKA VIBAYA....NYIE MNAOJIITA USALAMA WA TAIFA....hovyo kbsaa.....mtabaki na vi mshahara mbuzi hivi hivi ma.....kbsa nyie...mxiuuuuu...nchi huru hii....mbona huyo bashite mna muogopa ...
Usalama usalama...mnalinda nini....
Mkuu umeongea kwa busara sana.Nape mdogo wangu, kuikuta CCM inachungulia shimoni haikupi leseni ya kukiuka taratibu za utumishi au kiutawala.