Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Labda kama anategemea masangoma, sio Mungu!
 
RPC anatumika vibaya lakini Anatakiwa kukumbuka cheo ni dhamana


~~~>>>>Anaogopa kuhamishiwa Kijijini . Huko hatapata 5,000/= za kubrashia viatu.......


》》》》》Bashite toa vyeti.》》》》
 
Yan hyoo tena anasukumwa kidogo tenaa anasukumiwa kwenyw v8 Cjui nn tenaa kistaaraaabu watu wanatokwa povu: kuna jamaa zangu flan wenyewe huwa nimitamaa na rungu nying mpakaa wanasahau magari yao wanaparamia Yale mapikapu pendwa na kakesi juu kakufanya mikusanyiko. Huyo kaondolewa na stail ya kufukuza kuku shiiiiiiii shiiiiii mnaliaaaaaaaaaa!!!!! Chaaaa ndo ukubwaa huooo
 
Ila Magufuli jamani ulituangusha sana kumteua huyu jamaa pale mwanzo. Huyu mlikuwa mnaongea nae nini? Huyu hakukufaa kabisa katika serikali yako. Maana ni mswahili mswahili hakuna mfano. Wewe ni KAZI TU. Sasa uliwezaje kumvumilia kipindi chote hiki! Nape anachojua ni kupiga domo tu, kuongea mipasho baaasi kamaliza. Bora umepata guts za kumtoa.
 
Mm ninachoweza kusema n kwamba Nape ametumbuliwa kipnd Ambacho anaanza kujitambua na kutetea haki na ukweli hapo kdg unaweza ukapunguza chuki juu yake japo kdg au kumsamehe , Ila sula la kumuita Nape et n shujaaa Hilo bado sanaaa.
 
Nape Nauye: There is nothing to fear except fear itself

[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Uhuni huu unaendelea kukua, utaota pembe na kuzaa matunda. Majuto ni mjukuu. Wakati wa kuchukua hatua kuirekebisha nchi yetu na kudai nchi ni sasa.

Alianza na wapinzani, na wao hasa Mh. Lissu walituonya sana tena mapema kuwa huyu dikteta uchwara hataishia kwao (wapinzani) bali ataendelea kadiri tutakavyomruhusu. Leo hii, bila aibu wala woga (mwenyewe anaita kujiamini na ujasiri) tumeona jinsi aliyekuwa Waziri wake wa Habari saa 24 zilizopita, na mtetezi wake mashuhuri wa chama chao, mwasisi wa goli la mkono lililomweka hapo ngomeni alivyomfanyia. Sasa ole wenu mnaoendelea kumshabikia! Ole wenu ninyi mnaokaa kimya wakati mna nafasi na wajibu wa kutenda sasa hivi.

Ni aibu kubwa sana hii, sikudhani ningeishi kuona na kusikia nchi yangu ingefika hapa.

Tumeona na kuujua ubaya wa CCM kwa miongo kadhaa lakini kwa sasa hivi tunaona kiwango kipya kabisa cha uovu na dhuluma. Sasa basi tufanye haya mambo 3 kila mmoja kwa nafasi yake:-

1) Tukatae (udikteta, uonevu na kila aina ya dhuluma na kugawanywa).

2) Tuwapinge (ni haki yetu).

3) Ni wajibu wetu!
 
Kazi ipo safari hii, nahisi kama Tanzania inapotea tupo vuluvulu hatujui tunaenda wapi kila kukicha ni vituko
 
Kipindi nape yuko majukwani kumpambania sizonje ulikuwa wapi mbona hukuyasema haya!?!?
 
"Nge akikosa chakula muda mrefu huanza kujitafuna mwenyewe" CCM itasambaratika muda si mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…