Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

 
Akili za Kibashite hizi utaahira wako peleka lumumba siyo humu. Sasa kama hakufanya kosa kwanini azuiliwe kuongea na wanahabari hadi akaongee juu ya gari!? Kwanini dikteta uchwara akasirike kwamba magazeti yote yalitoa kipaumbele kwenye habari ya Nape badala ya unafiki wake wa bandari!?

Acha kuidumaza akili yako tafakari kwa kina.

Kwani rais kumchomoa waziri ni hadi waziri afanye kosa? Kuondolewa kwa Nape kumevunja sheria au katiba ipi? Acha ushabiki na mihemko...reasoning yako inapaswa kuwa rational...sio kuwa guided na emotions..
 
Acha porojo wewe... ingekuwa ni lazima atumbuliwe angeanza kumtumbua Daudi Albert Bashite kiumbe aliyejaa kashifa kila kona ya mwili wake!

Kufoji vyeti; yeye

Kutumia cheti ambacho si chake; yeye

Ku-blackmail watu na kuwaingiza kwenye list ya drug dealers; yeye

Kuwaingiza watu kwenye list ya drug dealers kisa tu kanyimwa papuchi; yeye

Kuacha kumtaja mtu kwenye list ya drug dealers a known drug trafficker kisa tu anamtia; yeye

Kutumia magari ya watu waliotajwa kwenye orodha ya drug dealers; yeye

Kukarabatiwa ofisi kwa mamilioni ya pesa toka kwa watu wenye tuhuma kadhaa za ufisadi; yeye

Uvamizi wa ofisi za kiraia huku akiwa na askari wenye silaha za kivita; yeye!!

Yote hayo hakuyaona lakini amekuja kuliona lile la kuchunguzwa Daudi Albert Bashite wa Kolomije?!
 
Azam 2 nao walikuwa wamerekodi?
Mwishoe na lile tukio la kutishiwa basitola utasema waliedit, halikuwa tukio halisi.
 
Wewe ulivyo andiko unatarajia utaonekana unaakili lakin mambo ni kinyume chake umeonekana mjinga wa mwisho kabisa, lazima ukubali kuwa hakuna delegation of power ,kuna haja gani swala amabalo lipo ndan ya mamlaka yako kuuliza tena kwa boss, unajua taratibi za utawala au ndio unatumia hisia zako ambazo ni ndogo kufanya majumuisho.

Unasahau kwamba nape ndio mtetezi wa serikali aliye lazimisha ushindi wa kupita sheria ya vyombo vya habari ambayo ilikuwa na maslah kwa boss wake.

Sasa kila kitu kuuliza kwa boss maana ya delegation of power iko wapi!? Acheni ushabiki wa kijinga .waziri ni mamlaka inayo jitegemea kabisa ,ni tanzania na ni awamu hii pekee mkuu wa mkoa anakuwa boss wa waziri.
 
Yaan unajitangaza kabisa kuwa we ni mshamba kwa kiwango cha hali ya juu !Go back to koromije .
 
Acha upumbavu wewe! Waziri kapewa mamlaka na Rais halafu asuburi kitu kilichotokea ambacho kiko ndani ya himaya ya Wizara atumwe na Rais!? Wa wapi wewe!? Mbona unaonyesha ujuha wako hadharani!?

 
Kosa lake kwa mtu wa mihemuko hawezi kuliona kwa urahisi, ksma ulimsiliza wziri mwakyembe jana hapo ndo waweza gundua
 
Muhimu ni kuwa Nape Mosse Nauye anajua anachokifanya na kwa wakati gani
Kumbe unataka kutuambia katumbuliwa kwa sababu ni team membe
Nape ni mtu muhim CCM.
 
Hapo umeeleweka japo ufafanuzi zaidi.

Swali, je, mteule wa rais ana kinga dhidi ya mamlaka nyingine za nchi kutofanya chochote dhidi yake hadi rais atoe ruhusa? Ni Katiba, ni sheria, ni maadili, au ni utaratibu tu uko hivyo?
 
Hayo ndo majungu tusiyoyapenda JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…