Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

Wafuasi wa hayati wanachukia watu wakipewa haki zao!
Maadui wa hayati wanafurahi hili si kwa sababu ya kutendeka haki ila ni kwa sababu linafanya hayati aonekane hakuwa sahihi alikuwa muovu hilo huwapa furaha nafsi zao, hawajali hizo pesa zinarudishwa kwa utaratibu gani wala nini.
 
Sasa ulitaka serikali ya mama nayo ichikichie fedha za watu?

Dhulma siyo nzuri.
 
Sasa ulitaka serikali ya mama nayo ichikichie fedha za watu?

Dhulma siyo nzuri.
Kama hatujali hizo pesa zinarudishwa kwa utaratibu upi basi dhulma itakuwa inaendelea, kuna hoja humu ya kwamba kama hizo pesa ziliporwa tu bila kuhesabiwa ni utaratibu gani unatumika kuwarudishia? Ila naona watu wanafurahia kuwaumiza sukuma gang.
 
Bajeti ipi iliyotoa fungu hilo; ya mwaka huu bado haijatangazwa, au itakuwa mwaka huu ndipo watalipwa?

Hata hivyo Nape ni mtu bogus sana na bado ana kinyongo na kutumbuliwa wakati ule. Yeye anatangaza habari hii kama Waziri wa fedha?
 
Tuliza hasira ndugu na ni vyema ukapata kikombe cha maji kwanza.

Naona unatoka lile kundi maarufu la sukuma gang maana ndiyo mliofurahia tunyang'anywe fedha zetu na mjomba wenu.

Sasa hivi mtawala tulie naye ni mcha Mungu asiyehitaji dhuluma kama ndugu yenu jiwe.
 
Naona wewe pia una matatizo hayo hayo. Matumizi ya hela za serikali huidhinishwa na Bunge kama hujui; ndiyo maana kuna kikao cha Bajeti. Malipo ya wafanyakazi wa Jumuia ya Afrika Mashariki waliokuwa wanaidai serikali yalipitishwa na bajeti ya mwaka 2009 wakati wa Kikwete, siyo kuwa yalitolewa kienyeji tu. Ni vivyo hivyo kama kuna malipo ya fidia kwa waliodhulumiwa mali zao na serikali yatapitishwa na kikao cha bajeti, hayatolewi kienyeji, na kunatakiwa kuwe na accounting ya kujua walidhulimwa kiasi gani. Vinginevyo kila mtu atatunga namba zake tu kuwa alidhumumiwa bilioni kadhaa kumba alikuwa amedhulumiwa labda milioni 10 tu.
 
Bajeti ipi iliyotoa fungu hilo; ya mwaka huu bado haijatangazwa, au itakuwa mwaka huu ndipo watalipwa?

Hata hivyo Nape ni mtu bogus sana na bado ana kinyongo na kutumbuliwa wakati ule. Yeye anatangaza habari hii kama Waziri wa fedha?
Hapa hatuangalii ubogus wa mtu au maumiv ya kutumbuliwa! Bali tunaangaliana ukwel wa anayosema!
 
Hapa hatuangalii ubogus wa mtu au maumiv ya kutumbuliwa! Bali tunaangaliana ukwel wa anayosema!
Kukosekana kwa ukweli wa anayosema ndio ubogus wenyewe. Angesema kuwa katika bajeti ya mwaka huu serikali imetenega kiasi kdhaa kufidia waliodhulumiwa angeonekana mkwelie kuliko kusema kuwa serikali imewalipa fidia kimya kimya from nowhere. Yeye siyo Waziri wa fedha, wala wizara yake haihusiki kabisa na malipo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…