Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

Kuna mtu niliwahi kukaa nae Arusha alikua na bureau, alinipa mkasa mzima

Aisee Hio siku walipofungua bureau zilikuja defender na 'vyuma' yaani walichukua pesa zote hata coin haikubaki, na katika askari waliotelekeza amri hii na kupeleka...

Kama hazikuwa na hesabu wakati zinachukuliwa, basi zinavyorudishwa pia zinakuwa hazina hesabu. Hivyo tena kuna kikundi cha watu kinajinufaisha na maburungutu yasiyo na hesabu.
 
Kama hazikuwa na hesabu wakati zinachukuliwa, basi zinavyorudishwa pia zinakuwa hazina hesabu. Hivyo tena kuna kikundi cha watu kinajinufaisha na maburungutu yasiyo na hesabu.
Hicho na nachowaza, fedha ziliporwa Wala sio kwamba walizihesabi wakakabidhiana

Sasa zinarudishwa sijui kwa mfumo upi, hapo lazima Kuna watu wanafaidika
 
Bahati ya mtu usiionee donge wewe usiyekua mkora haujawahi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Mmebaki kuongozwa na gaidi
Kuwa kiongozi kwa wizi wa kura nayo ni sifa? Hata hivyo sijawahi kutamani kuwa kiongozi, hivyo kwangu sioni kama ni jambo la maana sana. Labda kwako kuwa kiongozi kwa wizi wa kura ni kitu cha maana.
 
Waziri Nape Nnauye akiws katika kongamano la miaka 2 ya Rais Samia, amesema Rais amewafuta machozi watu wengi walioonewa na utawala uliopita.....
... Bora Serikali imekiri rasmi kwamba watu walionewa utawala uliopita. Yule mtu sio wa kuadhimishwa kama wafuasi wake wanavyotaka; alishapewa heshima yake mwaka wa kwanza yamepita; mengine yabaki ya kifamilia na chawa wake BICHWA KOMWEE, et. al.
 
Kuna mtu niliwahi kukaa nae Arusha alikua na bureau, alinipa mkasa mzima

Aisee Hio siku walipofungua bureau zilikuja defender na 'vyuma' yaani walichukua pesa zote hata coin haikubaki, na katika askari waliotelekeza amri hii na kupeleka pesa...
Ndiyo maana mpaka leo dola haikupanda sana. Ila subiri sasa hivi dola itafika 5000 by 2025. Uchumi na maendeleo vinahitaji roho ngumu na kujitoa.

Najua wengi watadhani huo uamuzi ulikuwa wa kijinga ila uliangalia ktk kuthibiti money laundering na kuzuia mfumuko wa bei. Ila sas ndiyo hivyo
 
Back
Top Bottom