Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

Ndiyo maana mpaka leo dola haikupanda sana. Ila subiri sasa hivi dola itafika 5000 by 2025. Uchumi na maendeleo vinahitaji roho ngumu na kujitoa. Najua wengi watadhani huo uamuzi ulikuwa wa kijinga ila uliangalia ktk kuthibiti money laundering na kuzuia mfumuko wa bei. Ila sas ndiyo hivyo
Tangia Magufuli afe hela ya Tanzania imeimarika sana
Shilingi ya Kenya ambayo ilifika 22 sasa ni 18

Kupanda kwa dola ni ishu ya demand and supply tu, dola zikija nyingi nchini kutokana na utalii, mauzo ya nje na uwekezaji Shilingi inapanda, zikipungua shilingi inashuka.

Uchumi ni akili sio manguvu
 
Ndiyo maana mpaka leo dola haikupanda sana. Ila subiri sasa hivi dola itafika 5000 by 2025. Uchumi na maendeleo vinahitaji roho ngumu na kujitoa. Najua wengi watadhani huo uamuzi ulikuwa wa kijinga ila uliangalia ktk kuthibiti money laundering na kuzuia mfumuko wa bei. Ila sas ndiyo hivyo
Kwa staili hii utasema hata benki zifungwe tutumie BOT pekee!! Money laundering haitegemei bureau pekee unaweza fanya transfer pricing tu ukahamisha matrilioni kisiri Siri au ukanunua assets kwa bei ya juu kuliko kawaida Ili kuhamisha pesa nje.

Tuache hizi mistrust juu ya private sector kuwa ni wezi tu, uchumi hauwezi kukua kwa style hiyo.
 
Kuna mtu niliwahi kukaa nae Arusha alikua na bureau, alinipa mkasa mzima

Aisee Hio siku walipofungua bureau zilikuja defender na 'vyuma' yaani walichukua pesa zote hata coin haikubaki, na katika askari waliotelekeza amri...
Nyie mlidanganywa sana na yule jamaa.

Mfano Makusanyo ya TRA kipindi cha Magufuli yalikuwa trilioni 1.2, kipindi cha Samia ni trilioni 2.

Kukusanya kodi huhitaji kufanya uporaji wa kishamba kama ule
 
Kiasi kilichukuliwa naamini hakijulikani kwani nyingi ziliishia kwa haya mafisi ya CCM!

Sasa wamelipa kwa ushauhudi gani? Au wamelipa 'token'
 
Nakataa, analysis yako haina ushahidi. Wewe angalia kipindi cha kutoka mkapa mpaka jk, nini kilitokea??? Ndiyo ujue wenye akili kubwa tunacheki tu mambo

Nakataa, analysis yako haina ushahidi. Wewe angalia kipindi cha kutoka mkapa mpaka jk, nini kilitokea??? Ndiyo ujue wenye akili kubwa tunacheki tu mambo
Mbona unachanganya mambo, Unazungumzia kipindi cha Mkapa vs Kikwete au unazungumzia Samia vs Magufuli
 
Kwenye awamu Ile hakuwa peke yake, Kuna wasaidizi waliokuwa sambamba na yeye wakimsaidia kufanya hayo yaliyofanyika Kwa miaka aliyotumikia.

Iweje waliosaidia ujambazi waonekane Leo wao wa maana sana Isipokuwa mmoja. Mbona hatukuona wakikaa pembeni kupinga ujambazi uliofanya na mmoja?.

Kwangu Mimi ni kama panya kungw'enya na kupuliza.
 
Kuna mtu niliwahi kukaa nae Arusha alikua na bureau, alinipa mkasa mzima

Aisee Hio siku walipofungua bureau zilikuja defender na 'vyuma' yaani walichukua pesa zote hata coin haikubaki, na katika askari waliotelekeza...
Bora wewe Mkuu umeliona tatizo,wengi wanamlaumu Magufuli kwa ukasuku tu.Hakuna sehemu watu waliokuwa wanatoroshea Fedha za kigeni na kusafisha fedha kama Bureua De change!
 
Mbona unachanganya mambo, Unazungumzia kipindi cha Mkapa vs Kikwete au unazungumzia Samia vs Magufuli
Mkapa aliacha dola ikiwa chini sana alipoingia JK na upole wake dola ikafika 2400, sasa Mama kaikuta 2300 utashangaa ikafika 5000 kabla hata ya 2025. Na majibu yake yatakuwa haya haya ya kitoto kusema ukraine, covid, maisha yamebadilika etc
 
Back
Top Bottom