Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Soma tena habari vizuri mkuuHakuna sehemu wamesema zinarudishwa, ni kwamba wameruhusiwa fungua tena
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma tena habari vizuri mkuuHakuna sehemu wamesema zinarudishwa, ni kwamba wameruhusiwa fungua tena
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Magufuli aliipandisha Shilingi dhidi ya Dola? Unajua aliikuta Dola ni ngapi na aliiacha ngapi?Kenya kuna anguko kubwa sana la kiuchumi ndugu, wanapitia transition period so muache ujinga kulinganisha pesa yetu na nchi maskini mwenzetu
Unaacha kulinganisha pesa yetu na global dominance currency kama dollar, Yuen, euro unaleta comparison na wakenya ambao kwa mwaka tunafanya biashara ambayo haifiki hata bilioni 600 za kitanzania
Kwanini ugaidi utaibuka tena mkuu?1. Thamani ya Tshs itashuka 2. Watu watatakatisha pesa zao kwa amani 3. Ugaidi utaibuka tena pale Kibiti.
VAR imepunguza nini mbona bado malalamiko yapo. Punguza ujuaji kwenye mambo usiyoyaelewa. Hio tume huru ni ipi hasa,maana ruzuku mlizikataa kisa hamkuukubali ushindi uliotokea wala wabunge walipatikana ila ghafla mmebadili gia na kuichukua kinyemela. Mnachotqkq nyie ni tume itakayowapendelea,katiba itakayowapa madaraka mkononi. Mlamba asali umepanic
Hata wewe unafanya hivo sasaJiwe alifanya ujambazi kwa kutumia madaraka yake.
Nchi hii hakuna kitu mkuu. Wewe ukipata kanafasi ibaaaa, kwepa kodi, takatisha fedha, tajirika na mwishowe kufa! [emoji706][emoji706][emoji706]Hicho na nachowaza, fedha ziliporwa Wala sio kwamba walizihesabi wakakabidhiana
Sasa zinarudishwa sijui kwa mfumo upi, hapo lazima Kuna watu wanafaidika
Sababu hufanyi biasharaKwa hali ilivyofikia alikua sahihi
Jiwe=shetaniKuna mambo Bora kufunga mdomo
Haki itendeke!!Kasi ya kumkomoa Hayati si ya kitoto
Angemfanyaje? Rais ndie tha last word!! Kulingana na katibaCha kushangaza sio hao watu kufutwa machozi bali ni ule ukweli kwamba huyu rais wa sasa alikuwa ni sehemu ya huo uovu na wala hakupinga wakati huo sasa leo anayafanya haya kama njia ya kujitafutia umaarufu wa kisiasa baada ya kushindwa kupambana na uchumi unaozidi kuporomoka kila uchao. Bure kabisa.
Una pweinti hapa ila Sidhani kama utaeleweka!Hivi kweli kulikuwa na proper documentation ya fedha zilizochukuliwa , vifaa, docs etc etc
Jinga weweAkikusikia Mbowe na Lisu watakucheka sana!
Kama chadema wangelikuwa na watu wenye Akili kidogo,huu ndo ulikuwa muda wao wa kuingia ikilu na kuandika Historia....Yaani mistake wanazozifanya Ccm kwa kipindi hiki ilikuwa ni njia Tosha sana ya Chadema kufunga magori Mengi dhidi ya Ccm.Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji?
===
Nape akiwa Clouds FM amesema
"Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa wenzangu waliokimbia nchi machozi yao yamefutwa na na furaha imerudishwa kwao wamerudi nyumbani"
"Wale Wenye mahotel ambao hotel zao zilifungwa kwa sababu ya COVID 19 machozi yao yamefutwa kupitia royal tour. Watalii wamejaa. Wale waliokuwa na magari ya kusafirisha watalii waliokuwa wamepaki Arusha na kwingineko wamefutwa machozi na Rais Samia Suluhu Hassan".
"Wale wafanyabiashara waliokuwa wakiuza fedha za kigeni ambao maduka yao yalifungwa na fedha zao zikachukuliwa machozi yao yamefutwa kwa kurudishiwa fedha zao na kuruhusiwa kufungua maduka tena"
"Kubwa ni kwamba tumefurahishwa na umeendelea kutugusa sana Waziri Nape.
Asante kwa kufika na Tarehe 25 tutakuwa hapa kwenye Kilele cha Malkia wa Nguvu kwa ajili ya kuwapa tuzo akina dada na mama zetu waliosababisha na kufanya vyema katika nyanja mbalimbali".
Cina ni wapi huko Mkuu?Zile pesa za bureau de change utakuta kazificha Cina.