Josemzampola
Member
- Mar 6, 2023
- 78
- 97
Hiyo ni zaidi ya 5G aicee, Kila baya anapewa yeyeKasi ya kumkomoa Hayati si ya kitoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni zaidi ya 5G aicee, Kila baya anapewa yeyeKasi ya kumkomoa Hayati si ya kitoto
Hahaha ila kweli. Hela za kampeni hizo.Upigaji mwingine unaendelea hapo.
Nape kha!
Eh ni wazi kabisa ndani ya chama chao kulikuwa na mpasukoWaziri Nape Nnauye akiws katika kongamano la miaka 2 ya Rais Samia, amesema Rais amewafuta machozi watu wengi walioonewa na utawala uliopita....
Kwa nini?Kuna mambo Bora kufunga mdomo
Tangia Magufuli afe hela ya Tanzania imeimarika sanaNdiyo maana mpaka leo dola haikupanda sana. Ila subiri sasa hivi dola itafika 5000 by 2025. Uchumi na maendeleo vinahitaji roho ngumu na kujitoa. Najua wengi watadhani huo uamuzi ulikuwa wa kijinga ila uliangalia ktk kuthibiti money laundering na kuzuia mfumuko wa bei. Ila sas ndiyo hivyo
Kwani mtaji si wa kwao au maana ya fidia huelewi? Sio kwamba wamelipwa pesa ya Bure ni kurudishiwa pesa waliyoitolea jasho wenyewe.Kasi ya kumkomoa Hayati si ya kitoto
Gaidi kuwa mbunge ni dalili kuwa tume ni huru? Kwenye soka kuna mfumo wa VAR, huo mfumo ni wa nini iwapo bingwa alikuwa bado anapatikana? Punguza utoto dogo.Tume zipo huru ndo maana gaidi alishawahi kuwa mbunge
Kwa staili hii utasema hata benki zifungwe tutumie BOT pekee!! Money laundering haitegemei bureau pekee unaweza fanya transfer pricing tu ukahamisha matrilioni kisiri Siri au ukanunua assets kwa bei ya juu kuliko kawaida Ili kuhamisha pesa nje.Ndiyo maana mpaka leo dola haikupanda sana. Ila subiri sasa hivi dola itafika 5000 by 2025. Uchumi na maendeleo vinahitaji roho ngumu na kujitoa. Najua wengi watadhani huo uamuzi ulikuwa wa kijinga ila uliangalia ktk kuthibiti money laundering na kuzuia mfumuko wa bei. Ila sas ndiyo hivyo
Bichwa Komwe aka Simon Odungwa... bora Serikali imekiri rasmi kwamba watu walionewa utawala uliopita. Yule mtu sio wa kuadhimishwa kama wafuasi wake wanavyotaka; alishapewa heshima yake mwaka wa kwanza yamepita; mengine yabaki ya kifamilia na chawa wake BICHWA KOMWEE, et. al.
Nyie mlidanganywa sana na yule jamaa.Kuna mtu niliwahi kukaa nae Arusha alikua na bureau, alinipa mkasa mzima
Aisee Hio siku walipofungua bureau zilikuja defender na 'vyuma' yaani walichukua pesa zote hata coin haikubaki, na katika askari waliotelekeza amri...
Nakataa, analysis yako haina ushahidi. Wewe angalia kipindi cha kutoka mkapa mpaka jk, nini kilitokea??? Ndiyo ujue wenye akili kubwa tunacheki tu mamboTangia Magufuli afe hela ya Tanzania imeimarika sana
Shilingi ya Kenya ambayo ilifika 22 sasa ni 18..
.........hahahaaa kwamba wanakomaa kumkomesha marehemu .....Kasi ya kumkomoa Hayati si ya kitoto
Nakataa, analysis yako haina ushahidi. Wewe angalia kipindi cha kutoka mkapa mpaka jk, nini kilitokea??? Ndiyo ujue wenye akili kubwa tunacheki tu mambo
Mbona unachanganya mambo, Unazungumzia kipindi cha Mkapa vs Kikwete au unazungumzia Samia vs MagufuliNakataa, analysis yako haina ushahidi. Wewe angalia kipindi cha kutoka mkapa mpaka jk, nini kilitokea??? Ndiyo ujue wenye akili kubwa tunacheki tu mambo
Imeporomoka ukilinganisha na dolaTangia Magufuli afe hela ya Tanzania imeimarika sana
Shilingi ya Kenya ambayo ilifika 22 sasa ni 18...
Bora wewe Mkuu umeliona tatizo,wengi wanamlaumu Magufuli kwa ukasuku tu.Hakuna sehemu watu waliokuwa wanatoroshea Fedha za kigeni na kusafisha fedha kama Bureua De change!Kuna mtu niliwahi kukaa nae Arusha alikua na bureau, alinipa mkasa mzima
Aisee Hio siku walipofungua bureau zilikuja defender na 'vyuma' yaani walichukua pesa zote hata coin haikubaki, na katika askari waliotelekeza...
Mkapa aliacha dola ikiwa chini sana alipoingia JK na upole wake dola ikafika 2400, sasa Mama kaikuta 2300 utashangaa ikafika 5000 kabla hata ya 2025. Na majibu yake yatakuwa haya haya ya kitoto kusema ukraine, covid, maisha yamebadilika etcMbona unachanganya mambo, Unazungumzia kipindi cha Mkapa vs Kikwete au unazungumzia Samia vs Magufuli