Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

Hujui Afrika mtawala anakuwa na washauri lukuki,lakini badala ya kumshauri,yeye ndiye anayewashauri.
Unamshaurije mtu anayetamba kuwa yeye hashauriki wala haambiliki.
Labda kama hujipendi na uko tayari kuface consequences.
Kama kweli hukubaliani naye unapaswa ujiuzulu kama alivyofanya Mtei mwanzoni mwa miaka ya themanini alipojiuzulu uwaziri baada ya kutokubaliana na sera za Nyerere, hivyo Samia ni mnafiki tu hana lolote.
 
Uraisi wa kufanya money laundring ni kupitia bureua
 
Sasa pesa ishaingia kwenye mzunguko wa kiserikali unatoa tena kuwapa watu kama unatoa zawadi ya krismass kwa wanao tutapa hela kweli...!!??
 
Safi sana Mama anaupiga mwingi kwenye usimamizi wa haki kila kilichofanywa kinyume na sheria Rais Samia Suluhu anarekebisha we are so proud of her
 
Angejiuzulu, rejea alichofanya Mtei mwanzoni mwa miaka ya themanini alipojiuzulu uwaziri baada ya kutokubaliana na sera za Nyerere kwa IMF na WB.
Je hata resignation yake kama alihitaj ungetangaziwa? Mamb mengine protocol haziruhusu
 
Sisi tuendelee tu kuangalia kwa macho, na kusikia kwa masikio. Afrika mizaha ni mingi ndiyo maana watu hawana nidhamu
 
Safi sana Mama anaupiga mwingi kwenye usimamizi wa haki kila kilichofanywa kinyume na sheria Rais Samia Suluhu anarekebisha we are so proud of her
Kama tuna Rais ambaye ubora wake unapimwa kwa kurekebisha tu makosa yaliyofanywa na mtangulizi wake basi bado hatujapata kiongozi bora, Lissu anasema hadi sasa Samia kafanya mambo mepesi sana wala havimuhitaji kubadili sheria hivyo bado sana.

Maovu ya Magufuli isiwe ndio kipimo cha uovu kwa viongozi wengine, maovu ya Magufuli hayafanyi wengine kuwa malaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…