Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

Magufuli hakuwa kumfukuza mwekezaji! Ila yeye mwekezaji akiwa mwizi huyo sio mwekezaji ni mwizi kama wezi wengine tu. Na changamoto tuligonayo ni kuwa ao wawekezaji janja janga mara nyingi huwa wanaletwa na viongozi wetu, yaani unakuta ata Rais ni dalali wa mfanyabiashara fulani.
View attachment 2560071
View attachment 2560071
Zilongwa mbali zitendwa mbali, alisikika mkulungwa mmoja.
 
Kama zilichukuliwa isivyo halali, ni muhimu kuipongeza Serikali kwa kuwarudishia wahusika fedha zao.
Kwani zilichukuliwa na nani? Kwa sheria ipi (utaratibu gani)? Na zimerudishwa kwa sheria ipi?

Isije kuwa unampongeza Kibaka kwa kukupa buku leo kwenye buku 2 aliyokupora jana
 
Kama chadema wangelikuwa na watu wenye Akili kidogo,huu ndo ulikuwa muda wao wa kuingia ikilu na kuandika Historia....Yaani mistake wanazozifanya Ccm kwa kipindi hiki ilikuwa ni njia Tosha sana ya Chadema kufunga magori Mengi dhidi ya Ccm.
Watu wengine sijui mnatumia akili gani kuongea, kwa mfumo huu ambao ccm ndio inaandaa na kuratibu shughuli zote za uchaguzi pamoja na kutangaza matokeo unafikiri hata ukileta vyama kama Republican au Democratic katika nchi hii itawashinda kwenye uchaguzi...!!!
 
Kama ccm ndo anaandaa shughuli zote za uchaguzi na mnakuwa na imani kwamba hamtoshinda kwann mnasimamisha wagombea kuharibu tu hela za serikali na muda wa watu?.
Kubalini tu tuwe na chama kimoja.
 
Ili kupata ruzuku na ubunge.
 
Protocol gani hiyo inamlazimisha mtu kufanya kazi hata kama hapendi. Imekuwa magereza..!!
Elewa maan ya protocol kweny taasis za kiutawala! Hata ikitokea Rais anataka kuachia ngaz unafikir kwann hutangaziw?
 
Kumbe CHAMA CHA MAPINDUZI NA SERIKALI YAO ni waporaji kiasi hiki kama sio chama kilishiriki katika uporaji huo kwa Nini kilikaa kimya wakati wananchi wake wakiporwa na hao majambazi
Na huyo unaemwita anarejesha tabasamu ni serikali inayowafurahisha hao watu au ni pesa zake binafsi Ili nami nianze pambio za kusifu

Sema tu mnabahati mnaongoza kundi la akili ndogo
Nan anasifia? Nimesema mweny haki apewe haki yake na sio dhuluma! Suala la CCM na madai yako lipo wazi kbs!. Sasa ww akili kubwa mbona huonekan hadharani upinge yanayoendelea?
 
Kwa wafanya biashara walioporwa fedha zao kijambazi kuwarudishia peke yake haitoshi, wanapaswa pia kulipwa fidia. Muda wote huo wangekuwa wameingiza faida kiasi gani? Walioufanya ujambazi ule wamechukuliwa hatua gani?
Kitu cha ajabu ni kwamba pesa hizo(za kigeni na shilingi za Kibongo) ziliporwa kihuni, wanajua vipi kiasi cha kila aliyeporwa au wanawakadiria tu?
Hapo ndipo kuna hitilafu! Pia kama unavyojua Nchi hakunaga utaratib wa viongoz kuwajibishwa!!
 
●Baba na Mama wa Ben sanane wanafutwaje machozi?

●Familia ya Aziron Gwanda nayo inafutwaje machozi?

Rest in peace Brothers😪😪😪
Waishitaka serikali wadai pesa tu ndio kilichobakia na wadai nyingi sio kidogo kama bilioni 100 ili machozi yao nayo yafutike rupia ni faraja vilevile
 
Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji?

===
Nape akiwa Clouds FM amesema

"Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa wenzangu waliokimbia nchi machozi yao yamefutwa na na furaha imerudishwa kwao wamerudi nyumbani"

"Wale Wenye mahotel ambao hotel zao zilifungwa kwa sababu ya COVID 19 machozi yao yamefutwa kupitia royal tour. Watalii wamejaa. Wale waliokuwa na magari ya kusafirisha watalii waliokuwa wamepaki Arusha na kwingineko wamefutwa machozi na Rais Samia Suluhu Hassan".

"Wale wafanyabiashara waliokuwa wakiuza fedha za kigeni ambao maduka yao yalifungwa na fedha zao zikachukuliwa machozi yao yamefutwa kwa kurudishiwa fedha zao na kuruhusiwa kufungua maduka tena"

"Kubwa ni kwamba tumefurahishwa na umeendelea kutugusa sana Waziri Nape.

Asante kwa kufika na Tarehe 25 tutakuwa hapa kwenye Kilele cha Malkia wa Nguvu kwa ajili ya kuwapa tuzo akina dada na mama zetu waliosababisha na kufanya vyema katika nyanja mbalimbali".

Bado wengi sana hatujalipwa kwa hiyo Mama anakazi kweli ya kurekebisha ufedhuli wa Magufuli lakini mbona wale watumishi waliokuwa wanatekeleza unyama wa Magufuli hajawashighulikia??
 
Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji?

===
Nape akiwa Clouds FM amesema

"Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa wenzangu waliokimbia nchi machozi yao yamefutwa na na furaha imerudishwa kwao wamerudi nyumbani"

"Wale Wenye mahotel ambao hotel zao zilifungwa kwa sababu ya COVID 19 machozi yao yamefutwa kupitia royal tour. Watalii wamejaa. Wale waliokuwa na magari ya kusafirisha watalii waliokuwa wamepaki Arusha na kwingineko wamefutwa machozi na Rais Samia Suluhu Hassan".

"Wale wafanyabiashara waliokuwa wakiuza fedha za kigeni ambao maduka yao yalifungwa na fedha zao zikachukuliwa machozi yao yamefutwa kwa kurudishiwa fedha zao na kuruhusiwa kufungua maduka tena"

"Kubwa ni kwamba tumefurahishwa na umeendelea kutugusa sana Waziri Nape.

Asante kwa kufika na Tarehe 25 tutakuwa hapa kwenye Kilele cha Malkia wa Nguvu kwa ajili ya kuwapa tuzo akina dada na mama zetu waliosababisha na kufanya vyema katika nyanja mbalimbali".

huyu jamaa namwonaga ni mbeya flani flani vile.wakati amebanwa na JPM alikimbia mbio ilkulu kuomba radhi na alisamehewa lkn leo hii kila hotuba yake ni kumponda JPM na hata mpya hana.ama kweli mama anaupiga mwingi.
 
Nape ni tactician, anajua twists and turns za politics za Bongo sana tu. Mtu anayemzidi kwenye hilo ni Mzee wa Msoga peke yake, yaani anaenda na wewe unavyotaka lakini kiuhalisia ni kwamba anakulia timing. Mlugaluga kama Jiwe games hizo za town haziwezi, yeye alikuwa akiamini katika kutumia nguvu, hasira, ikibidi kuua na kutesa/kunyanyasa mpaka watu wakubaliane naye.
Kumchinja kobe kunahitaji timing, leo Jiwe na Nape nani mjanja.
 
Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji?

===
Nape akiwa Clouds FM amesema

"Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa wenzangu waliokimbia nchi machozi yao yamefutwa na na furaha imerudishwa kwao wamerudi nyumbani"

"Wale Wenye mahotel ambao hotel zao zilifungwa kwa sababu ya COVID 19 machozi yao yamefutwa kupitia royal tour. Watalii wamejaa. Wale waliokuwa na magari ya kusafirisha watalii waliokuwa wamepaki Arusha na kwingineko wamefutwa machozi na Rais Samia Suluhu Hassan".

"Wale wafanyabiashara waliokuwa wakiuza fedha za kigeni ambao maduka yao yalifungwa na fedha zao zikachukuliwa machozi yao yamefutwa kwa kurudishiwa fedha zao na kuruhusiwa kufungua maduka tena"

"Kubwa ni kwamba tumefurahishwa na umeendelea kutugusa sana Waziri Nape.

Asante kwa kufika na Tarehe 25 tutakuwa hapa kwenye Kilele cha Malkia wa Nguvu kwa ajili ya kuwapa tuzo akina dada na mama zetu waliosababisha na kufanya vyema katika nyanja mbalimbali".

DR SAMIA TENA 2025 ✅✅✅
 
Hivi kweli kulikuwa na proper documentation ya fedha zilizochukuliwa , vifaa, docs etc etc
Kama hakukuwa na proper documentation sasa nyinyi mnawarudishia sh ngapi? Au mtu.atakazotaja zozote anapewa?
Si mliwarudisha kazini wa vyeti feki pia? Mliwarudisha kwa vyeti vipi?
 
... Bora Serikali imekiri rasmi kwamba watu walionewa utawala uliopita. Yule mtu sio wa kuadhimishwa kama wafuasi wake wanavyotaka; alishapewa heshima yake mwaka wa kwanza yamepita; mengine yabaki ya kifamilia na chawa wake BICHWA KOMWEE, et. al.
Na wa vyeti feki pia walionewa? Wasiolipa kodi je?
 
Uchaguzi upi hamkulalamika kuibiwa kura?
Hawa watu hopeless kabisa. Kila uchaguzi wanalalamika wameibiwa kura. Kama jpm aliiba kura, mkaacha kumtambua, mjue kwamba Rais aliyepo ambae mnamkubali, ametokana na uchaguzi huo huo. Mnafikiri vzr lkn?
 
Back
Top Bottom