Napenda wanawake wanaojisitiri kimavazi kuliko wa vimini na mawigi

Utasikia Beyoncé mzuri mnadhani yule ni natural (aka msitu)
 
kujisitiri pekee haitoshi kumuona kama mtu ndo mke afaaye bwana
Tunapoongeza kujistiri cyo kuvaa kwa siku moja kama wafanyavyo dada zako,tunazungumzia mavazi always ya huyo mwanamke yaani hata ukimpeleka shopping anakuambia kabisa "sitaki nguo fupi"na hata ukibahatika kupata kuchungulia beg lake hukuti mavazi ya akina Rihanna
 
Mimi pia mkuu,namuona mrembo sana kuliko mvaa vimini na hiyo imekuja mpaka nimeoa binti wa kiislam ingawa mm ni christian
Hongera Saana na Mujaaliwe kizazi chema na maisha murua..AMIN. ila nikujuze tu... kuwa bado hujakamilisha imani/dini yako!!
 
kuna baadhi ya wakaa uchi hupenda sana kujitetea kwa point ya" tabia ya mtu haipimwi kwa mavazi"upuuzi sana sisi wanaume ndio tunawaambia mwanamke anaejua kukaa uchi ataolewa na baba yake full stop,ukija kwangu na nguo zako za kulalia nakupiga dd kama kawaida.
 
Kama muoaji alobaki ni wewe basi tamko lako ni sheria
 
unasikitisha sana aisee
 

Inapendeza binti/mama akivaa nguo ya sitara, hata heshima huongezeka, wanaume wengi huvutiwa na mavazi ya kubana kingono tu, lakini mwanaume huyu huyu humheshimu sana mwenge mavazi ya kusitiri mwili.
 
Naona umefurahiii madame... ndio hiko hivyo napenda sana mabinti wa kislamu wanavyojistiri hususani waarabu japo kuna wengine ni vimeo..
Ni kweli wa kiislam wanapendeza kwa mavazi mazuri lakini sio ya kufunika USO sipendi
 
Hongera Saana na Mujaaliwe kizazi chema na maisha murua..AMIN. ila nikujuze tu... kuwa bado hujakamilisha imani/dini yako!!
Amiin,tuko vizuri kwa kweli Allah anasimamia kila kitu halafu si unajua tena swtie ni (Hizb)wale ccm wanawaita chotara halafu mshua mwenyewe chombo ya sumbawanga,lazima product ztoke za ukweli
 
Amiin,tuko vizuri kwa kweli Allah anasimamia kila kitu halafu si unajua tena swtie ni (Hizb)wale ccm wanawaita chotara halafu mshua mwenyewe chombo ya sumbawanga,lazima product ztoke za ukweli
Basi ushakuwa SHEM !!! ( sasa ntaanza kukuandama na kukufunza vya Umangani )😛😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…