Napenda wanawake wanaojisitiri kimavazi kuliko wa vimini na mawigi

Karibu Tanga uone wanawake wanaingizwa guest kumegwa uku wamejisitiri,
Kama mgeni waweza shangaa, lakini siyee Watanga twaona kawaida atiiii,
 
 
Hao unawaona wanaingia Guest huku wamejistri ni hao wanaotembea bila kujistri,ila ikifika kwenda Guest au sehemu ovu anajistri asijuikane.Ili wasifiwe wasiojistri.
Karibu Tanga uone wanawake wanaingizwa guest kumegwa uku wamejisitiri,
Kama mgeni waweza shangaa, lakini siyee Watanga twaona kawaida atiiii,
 
Busara za baba.

Msichana alinunua simu smartphone ambayo ni ghali mno. Baba yake alipoiona alimuuliza "Binti yangu uliponunua hiyo simu yako ya gharama cha kwanza kufanya kilikua ni nini?"

"Niliweka screen protector kuzuia michubuko ya kioo na nikanunua cover kwa ajili ya kuzuia ikianguka isichubuke" binti alijibu.

"kuna mtu alikusukuma kufanya hivyo?" baba alimuuliza bintie

"Hapana" binti alijibu

"Unafikiri huko si kuwatukana waliotengeneza simu kwamba hawakukamilisha kazi yao? Baba aliendelea kuuliza.

"Hapana baba" ni kwamba hata wanaotengeneza wanawakumbusha watu kuweka cover katika simu zao kuzuia kuharibika kwa urahisi"

"Je uliiwekea cover kwa vile simu ni bei rahisi na inamuonekano mbaya?" Baba aliendelea kusaili

"ukweli nimeiwekea cover sitaki iharibike mapema na ipoteze uthamani wake" binti aliendelea kumjibu baba yake.

"ulipoiwekea cover, imepunguza uzuri wa simu yako?"

"Hapana baba nafikiri ndio imeonekana nzuri zaidi tofauti na mwanzo, na imeipa simu yangu ulinzi ili isiharibike"

Baba akamwangalia binti yake kwa upendo na akamwambia, " Je kama nikikuomba ukave mwili wako ambao unathamani kubwa kuliko hata hiyo simu yako kwa nguo ndefu zisizo onyesha maungo yako kwa watu hovyo hovyo utafanya hivyo?"

Binti alibaki kimya!

Uvaaji wa nguo fupi na zisizo na staha ambazo zinaweka wazi maungo yenu obvious zinapunguza thamani yenu na heshima kwa jamii. Watakaokutamani ni wanaume wakware tu wale wahuni wahuni! Ila mwanaume mwenye heshima zake hawezi akavutiwa nawe kwake atakuona kama msichana fulani wa kileo unayefaa kwa usiku mmoja tu na sio kwa maisha.
 
Hilo wala halihitaji utafiti mkuu ukiona wengi wana vimini ujue ndio mahitaji ya soko kwa sasa
 
Ni kweli kabisa japokuwa mavazi huonyesha matendo yako, ni kama vike ukute pipi mbili zimeanguka njiani moja imefunikwa na karatasi lake moja imevuka , automatically utaiokota ile ambayo iko na ganda lake kwa kuamini iko salama zaidi
 
Karibu corner bar sinza pembeni ya chuo cha ustawi wa jamii kuanzia saa 2.30 usiku, nadhani una stress, uje uone dunia nyingine kabisa iliyoko sayari ya kwanza! sio huko uliko sayari ya tatu! nahisi umeandika uzi huu kutokana na stress za kutendwa na hizi tunyenye! karibu chief! ujionee raha za duniani! hauko duniani ww!
 


'Ewe Nabii (Muhammad !) Waambie wake zako, na binti zako, na wake za Waumini (Waislaam) wajiteremshie nguo zao. Hivyo ni karibu zaidi wao kutambuliwa (kuwa ni Waislaam) ili wasiudhiwe. Na Mwenyezi Mungu ni mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Qur'an: 33:59.
 
hatuvai kumpendeza mtu ila ni kwa kujifurahisha wenyewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…