Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Bro mbona hapo kuhusu huo moshi mambo yako wazi tu,gari limepata itilafu alafu kahamia gari lingine nalo pia ni la kumtafuta mchawi?
 
JPM pia ana ndugu, ana mke na watoto, wewe ni nani wa kuipigania haki yake zaidi ya ndugu na watoto!!?? Una uhakika gani kama mke, ndugu na watoto hawajajiridhisha!!?? Unataka kutuambia umeumia zaidi ya mke na wanae!? Au we ndo Mama Jesca?
Umetoka usingizini JPM alikuwa ni Rais wa nchi ya Tanzania. uwezi mchukulia ukadhani ni familia kama yako nyumbani. Duuh! Inaonesha weye unahitaji elimu ndogo tu kujua Rais wa nchi ni nani? Na anawadhifa upi katka taifa.
 
Unajua nani anawajibu wa uchunguzi kwa mujibu wa sheria au unajiongelesha tu hapa kishabiki. Unajua taratibu za uchunguzi?
Rais wa Bukinafaso Sankara aliuwawa, unajua kilichofuatia baada ya miaka karibu 37? Jipeni moyo, wakati unaongea.
 
Uchunguzi haufanywi nami. Fahamu sheria za nchi yako zinasemaje juu ya uchunguzi wa kifo tata. Jisomee sheria kwa faida yako.
Kwani taarifa ya madaktari iliyotolewa na Mh. Rais hukuisikia? Chanzo cha kifo hukukisikia? Au kuna taarifa yako unataka kuisikia!!?? Kafanye kazi acha upu.mbavu.
 
Unajua nani anawajibu wa uchunguzi kwa mujibu wa sheria au unajiongelesha tu hapa kishabiki. Unajua taratibu za uchunguzi?
Rais wa Bukinafaso Sankara aliuwawa, unajua kilichofuatia baada ya miaka karibu 37? Jipeni moyo, wakati unaongea.
Sankara aliuwawa kwa bunduki. Huyu alikuwa mgonjwa tangu alipokuwa mbunge na pengine kabla ya hapo.

Umeshajiuliza ni kwanini hakupanda ndege kwenda Ulaya hata mara moja?. Fanya kazi ndogo tu kuliko kulialia hapa jukwaani.

Nenda hospitali ya Mzena na omba taarifa za kuugua mpaka kufa kwa mheshimiwa JPM. Mengine yote unayoyaandika ni hisia tu za jumla jumla.

Mimi na Wewe tutakufa hakuna aliyeandikiwa na Mungu maisha ya milele.
 
Umetoka usingizini JPM alikuwa ni Rais wa nchi ya Tanzania. uwezi mchukulia ukadhani ni familia kama yako nyumbani. Duuh! Inaonesha weye unahitaji elimu ndogo tu kujua Rais wa nchi ni nani? Na anawadhifa upi katka taifa.
Ok, kaunde tume ya vifo vya ma-Rais waliotangulia basi. Unajitia ujuaji na hujui lolote, serikali ina namna yake bora kabisa ya kuchunguza na kutoa taarifa na bahati nzuri taarifa ya chanzo cha kifo tumeshapewa, sijui unataka uchunguzi wa nini!!?? Kama umeumia sana nenda Chato kachunguze.
 
Huyo ataendelea kulalama mpaka uzee umkute.
 
Mdanganye mwenye dhamana ya kusikiliza sauti za wananchi huku ukimng'ong'a


Sikiliza ni hivi

The investigation is vital to be conducted now before it is too late to conceal the truth behind the scene.

The Investigative Decision Making Entails the following

β€’ Establish that an offence has been committed, by who, when, how (to uphold the modus operandi details with lead highlights) and why or has not been committed.
β€’ Gather all available information, material, intelligence and evidence (The factual text must be substantially objective with details verified against records and pieces of information received from reliable and credible sources)
β€’ Act in the interests of justice without intimidation or coercion
β€’ Rigorously pursue all reasonable lines of enquiry.
β€’ Conduct a thorough investigation leaving no shadow of doubt to prove or disprove.
β€’ Identify, arrest and charge offenders.
β€’ Present all evidence to the prosecuting authorities for the case to be determined its dimensional impact on the community
*The investigation must adhere to the Golden Rule in investigation roles
A. Assume nothing
B. Believe nothing
C. Challenge and check everything (Check & Confirm in the balance of probability)

The leaders entrusted to govern for the interests of the people owes to do the following as a binding contractual obligation:
1. Listen to members of the public concerns and decisively find the right ways to address
2. Listen to citizens and take their concerns seriously with justice expectations
3. Investigations should be impartial and unbiased
4. Inspire confidence and provide reassurance
5. The investigation must be led under very strong confidentiality because at the
beginning nobody knows if the facts are true or not
4. Support with information, advice and guidance
5. Take ownership and record citizen concerns correctly to details
6. Explain what you shall do and why to prevent a recurrence
7. Notify the public of the findings and cause of action
Kwanini CDM wamelalamika kuhusu DC wa hai kupitia mitandao na hatua zimechukuliwa haraka tena kwa barua rasmi lakini kwa hawa wanaohoji na kuomba uchunguzi ufanyike dhidi ya kifo cha JPM imekuwa nongwa? Kuna nini na kwa sababu gain?
 
Kwani taarifa ya madaktari iliyotolewa na Mh. Rais hukuisikia? Chanzo cha kifo hukukisikia? Au kuna taarifa yako unataka kuisikia!!?? Kafanye kazi acha upu.mbavu.
Upumbavu acha weye unae ongea bila kujua nini maana ya uchunguzi. Kwanini kuumwa kwa Rais kuligichwa? Leo ndo tunaambiwa kafa kwa matatzio ya moyo.
Ndo maana tunataka uchunguzi.
Pia uwe na ababu kama ukufundishwa adabu na wazazi wako. Na nikwambie tu mimi sitishwi na kutukanwa. Ni mtu wa misimamo. Kutukana kwako walaa hakunitishi au kunikatisha tamaa. Na mtu anae tukana anaonesha kaishiwa hoja. Na pia malezi yake alopata yana mushikheri.
 
Kitendo cha kuwambia mtoa hoja kwamba aende Chato akachunguze, inathibitisha umetumwe kuja kuleta vitisho.

Mziki huu sio kidogo jidanganyeni na kadri siku zinavyoenda ndivyo moto utazidikupamba moto beyond control
 
Naam Naam Naaam Cc: Ben Sa8 & Azory Gwanda.
 
mh! umefungua uzi kabisa!

heshima yako!

ila watanzania walioguswa wanajua jawabu lipo nalo litakuwa la kipekee!
 
Kama mliunga juhudi mkono mtasubiri sana kama vp mfuateni huko Acha tupumue
 
Watanzania hao wenye shuku na uchunguzi juu ya kifo cha mpendwa wetu JPM huwezi kuwakuta JAMII FORUM au TWITTER tuko wachache

Wengi sana hawana ACCESS ya hii mitandao miwili.
Kweli kabisa wanyonge huwezi kuwakuta humu. Wale waliotandika nguo zao barabarani hao ndiyo wanashauku .humu utawakuta wahujumu uchumi, waliotumbuliwa ,vyeti feki, mafisadi n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…