Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Ndiyo Ukweli WenyeweJamani...si tulikubaliana mtu akifa na lake halipo?
Nasema Uongo Ndugu Zangu
π£πππΆπππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo Ukweli WenyeweJamani...si tulikubaliana mtu akifa na lake halipo?
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.
Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.
Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.
Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.
Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.
Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.
Video ya tukio la moshi hio apo chini.
Umetoka usingizini JPM alikuwa ni Rais wa nchi ya Tanzania. uwezi mchukulia ukadhani ni familia kama yako nyumbani. Duuh! Inaonesha weye unahitaji elimu ndogo tu kujua Rais wa nchi ni nani? Na anawadhifa upi katka taifa.JPM pia ana ndugu, ana mke na watoto, wewe ni nani wa kuipigania haki yake zaidi ya ndugu na watoto!!?? Una uhakika gani kama mke, ndugu na watoto hawajajiridhisha!!?? Unataka kutuambia umeumia zaidi ya mke na wanae!? Au we ndo Mama Jesca?
Wengine Siyo Waandishi Utawasikia Vigogo Wapukutika,Vigogo Wafa!!!MATAGA wanatapatapa...
Unajua nani anawajibu wa uchunguzi kwa mujibu wa sheria au unajiongelesha tu hapa kishabiki. Unajua taratibu za uchunguzi?Huyu sio kiongozi wa kwanza afrika kufa akiwa madarakani. Isiwe nongwa kifo chake wakati tumeshatangaziwa nini haswa kimetokea.
Umeshindwa kwenda Mzena Hospital ukapewa taarifa na madaktari waliomhudumia mpaka akakata roho?. Umeshafanya jitihada za kumtafuta daktari wake aliyekuwa karibu nae kwa muda wote wa urais wake?.
Umeshafanya upelelezi binafsi kujua kama alikuwa hanywi pombe licha ya kuwa na matatizo ya umeme wa moyo?.
Usiwe mwepesi wa kumnyooshea Rais wa sasa kidole bila ya kufanya kazi ya kufikiria mengi kwa kina.
Kwani taarifa ya madaktari iliyotolewa na Mh. Rais hukuisikia? Chanzo cha kifo hukukisikia? Au kuna taarifa yako unataka kuisikia!!?? Kafanye kazi acha upu.mbavu.Uchunguzi haufanywi nami. Fahamu sheria za nchi yako zinasemaje juu ya uchunguzi wa kifo tata. Jisomee sheria kwa faida yako.
Sankara aliuwawa kwa bunduki. Huyu alikuwa mgonjwa tangu alipokuwa mbunge na pengine kabla ya hapo.Unajua nani anawajibu wa uchunguzi kwa mujibu wa sheria au unajiongelesha tu hapa kishabiki. Unajua taratibu za uchunguzi?
Rais wa Bukinafaso Sankara aliuwawa, unajua kilichofuatia baada ya miaka karibu 37? Jipeni moyo, wakati unaongea.
Ok, kaunde tume ya vifo vya ma-Rais waliotangulia basi. Unajitia ujuaji na hujui lolote, serikali ina namna yake bora kabisa ya kuchunguza na kutoa taarifa na bahati nzuri taarifa ya chanzo cha kifo tumeshapewa, sijui unataka uchunguzi wa nini!!?? Kama umeumia sana nenda Chato kachunguze.Umetoka usingizini JPM alikuwa ni Rais wa nchi ya Tanzania. uwezi mchukulia ukadhani ni familia kama yako nyumbani. Duuh! Inaonesha weye unahitaji elimu ndogo tu kujua Rais wa nchi ni nani? Na anawadhifa upi katka taifa.
Walifanyiwa nn??
Huyo ataendelea kulalama mpaka uzee umkute.Ok, kaunde tume ya vifo vya ma-Rais waliotangulia basi. Unajitia ujuaji na hujui lolote, serikali ina namna yake bora kabisa ya kuchunguza na kutoa taarifa na bahati nzuri taarifa ya chanzo cha kifo tumeshapewa, sijui unataka uchunguzi wa nini!!?? Kama umeumia sana nenda Chato kachunguze.
Mdanganye mwenye dhamana ya kusikiliza sauti za wananchi huku ukimng'ong'aUmeharibu hapo kwa wasipuuzwe wanaodai hivyo! Ni kina Nani hao? Na hiki wanachodai kina maslahi gani kiuchumi?
Hii so sawa kwani utakuja kuleta query kwa cag kwani zitahitajika fedha za walipa Kodi ambazo zitakuwa zimefanya kazi isivyokuwa na tija!
Mbwa kulibwekea Basi linalokwenda hasimamishi Safari ya Basi Hilo! Waache mbwa wabweke lakini Safari inaendelea! Sio haha Wala sababu za uchunguzi wa kazi ya Muumba kwani iliandikwa kuwa kila nafsi itarudi kwa Muumba! Ya Nini kuhoji?
Kwanini CDM wamelalamika kuhusu DC wa hai kupitia mitandao na hatua zimechukuliwa haraka tena kwa barua rasmi lakini kwa hawa wanaohoji na kuomba uchunguzi ufanyike dhidi ya kifo cha JPM imekuwa nongwa? Kuna nini na kwa sababu gain?Mimi si serikali, Ningekuwa serikali ningefanya. Nachoongelea hapa kwanini kumekuwa na utata, toka anaumwa ilifichwa. Matamshi ya kuambiwa tu na madaktari hatuhitaji. Kama walitundanganya wakati anaumwa, ni kipi tutaamini. Tunachotaka ni uchunguzi huru.
Kuambiwa tupeleke ushahidi, ni maneno matamu ya kutaka kuchunguzi usifanyike. Swala Rais aunde Tume huru, watu watakuwa huru kupeleka huo ushahidi.
Uwezi mwambia mtu apeleke ushahidi, bila huyu mtu kutojua apeleke wapi, na je usalama wake utakuwa vipi?
Swala unda tume huru uone kama watu hawatopeleka ushahidi.
Watanzania si watoto sasa kuelezwa kauli za kudanganywa na kutishiwatishiwa.
Vaa barakoa na uzingatie hatua zote muhimu kujikinga na COVID 19.Tunadai mkuu maana Rais wa Nchi hawezi kufa kama kuku
Upumbavu acha weye unae ongea bila kujua nini maana ya uchunguzi. Kwanini kuumwa kwa Rais kuligichwa? Leo ndo tunaambiwa kafa kwa matatzio ya moyo.Kwani taarifa ya madaktari iliyotolewa na Mh. Rais hukuisikia? Chanzo cha kifo hukukisikia? Au kuna taarifa yako unataka kuisikia!!?? Kafanye kazi acha upu.mbavu.
Waanze na Ben Sa8 na Azory.Naunga mkono hoja.
Ili kuondoa uvumi na kuwaridhisha pande zote. Wafanye kama kwa Sabaya
Kitendo cha kuwambia mtoa hoja kwamba aende Chato akachunguze, inathibitisha umetumwe kuja kuleta vitisho.Ok, kaunde tume ya vifo vya ma-Rais waliotangulia basi. Unajitia ujuaji na hujui lolote, serikali ina namna yake bora kabisa ya kuchunguza na kutoa taarifa na bahati nzuri taarifa ya chanzo cha kifo tumeshapewa, sijui unataka uchunguzi wa nini!!?? Kama umeumia sana nenda Chato kachunguze.
Naam Naam Naaam Cc: Ben Sa8 & Azory Gwanda.Majority ya watanzania Wanaamini JPM aliuawa. Sema hakuna solid evidence na kwa kuwa wenye mamlaka walisema cause of death ni Chronic atrial fibrillation, basi kwa Sasa tuishi nalo hilo lakini Wakati ni mwalimu na aliyeua kwa upanga sharti afe kwa Upanga.
Mpiganieni na nyie.Waanze na Ben Sa8 na Azory.
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.
Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.
Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.
Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.
Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.
Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.
Video ya tukio la moshi hio apo chini.
Kweli kabisa wanyonge huwezi kuwakuta humu. Wale waliotandika nguo zao barabarani hao ndiyo wanashauku .humu utawakuta wahujumu uchumi, waliotumbuliwa ,vyeti feki, mafisadi n.kWatanzania hao wenye shuku na uchunguzi juu ya kifo cha mpendwa wetu JPM huwezi kuwakuta JAMII FORUM au TWITTER tuko wachache
Wengi sana hawana ACCESS ya hii mitandao miwili.