Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Hakuna chochote covid-19 iyo imemtoa roho. Anafit criteria zote za watu waliokuwa hatarini na maambukizi ya covid. Ni mtu mzima, ana maradhi ya moyo ukiunganisha na changamoto ya covid ni safari.
 
Uwashauri waanze na tume ya kuchunguza waliotaka kumuua Tundu Lisu pia tume hiyo Ichunguze kifo cha Mawazo,Ben Saanane,Azory na tuje kwenye kifo cha Hayati.
 
Mauji ya kwenye viroba hayajaisha huo ni ushaid kua Hayat watu walimtakia mabaya kwa maslai yao
 

 
Watanzania wana sintofahamu nyingi sana....
2. Hivi n nani aliyempiga vyuma aliyekuwa anadinda mbele ya makinda?
1. Ni nani aliyepelekea kifo cha hayati?

Na mengine mengiiiii.....

Nafikiri majibu yanayohusiana na kutoauhai wa mtu Mungu huyajibu kwa muhusika.....
 
Mboam isiundwe kwanza tume ya kuchunguza walimshambulia Lissu
Sio Lissu pekee, wengine mbona hamuwataji?

Lissu arejee na dereva wake kisha watu muanze kufunguka kama mlivyofanya kwa Ole Lengai Sabaya kwa maandishi na video mlizo nazonazo mmezificha.
 
Ikiundwa tume na ikifanya kazi kwauwazi na ukweli majibu yatakuwa: Alikufa kwa corona na serikali ikaamua kuficha ukweli kuondoa aibu.
Majibu yakitoka hivyo hatua inayofuata ni kumtaka dakatari aliyetoa ripoti hiyo na yule aliyetangaza kuwajibika kwa kujaribu kuficha ukweli wakati ugonjwa wa aina yoyote sio aibu.
 
Alikufa kwa korona full stop. Mwacheni aendelee kutumikia hukumu yake huko aliko!
 
lete ushahidi kuwa mauwaji kwny viroba yapo, or unless mnayaanzisha ili kumsafisha na kumpakazia mama wa watu
Hujaskia kua Kuna raia wawil wasio na hatia wameuawa na kutupwa ifadhin pia vip yule wa arusha alie tupwa barabaran na albino asie na hatia? Siwalaum nyie kumzushia marehem kua alikua muuaji sababu kashfa za uongo pekee ndio ziliweza kumteteresha ila kwenye point zote za ukwel aliwapiga roba
 
Watanzania wengi? Hao watanzania wengi ni akina nani?

Wenye akili, sote tunajua marehemu kafariki kwa tatizo la moyo lililokuwa activated na corona. Kwa kifo ambacho ni dhahiri kiasi hiki, hakuna haja ya uchunguzi.

Siyo kila porojo hufanyiwa uchunguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…