Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Umeharibu hapo kwa wasipuuzwe wanaodai hivyo! Ni kina Nani hao? Na hiki wanachodai kina maslahi gani kiuchumi?
Hii so sawa kwani utakuja kuleta query kwa cag kwani zitahitajika fedha za walipa Kodi ambazo zitakuwa zimefanya kazi isivyokuwa na tija!
Mbwa kulibwekea Basi linalokwenda hasimamishi Safari ya Basi Hilo! Waache mbwa wabweke lakini Safari inaendelea! Sio haha Wala sababu za uchunguzi wa kazi ya Muumba kwani iliandikwa kuwa kila nafsi itarudi kwa Muumba! Ya Nini kuhoji?
 
Hatuhitaji uchunguzi. Nchi inakwenda mbele msiturudishe nyuma tena. He'se gone and never come back again
 
Nad
Ulichoongea ni propaganda na kama ni ukweli Amiri jeshi mkuu wamuue halafu jeshi likae kimya tu inamaana limeona ni sawa kwa maslahi ya taifa. Either way hii mada haina maana.
Uuwaji unatofautiana, ndo maana kunahitajika Tume huru ili kuchunguza. Mara ngapi marais au viongozi wakubwa wameuwawa kisiri na jeshi likawa kimya? Marekani Rais Kennedy, aliuwawa tena wazi wazi, je jeshi lilifanya nini? Rais Karume aliuwawa Zanzibar mbele ya umati je jeshi lilifanya nini?
Kuna mauwaji ya siri na uwazi. Hivyo uchunguzi ni muhimu ili kujiridhisha.
Sasa wewe kudai jeshi lingefanya nini? Mfano Rais kama alipewa sumu hilo jeshi lilikuwepo kjua kapewa sumu?
Tunataka uchunguzi kuondoa utata uliopo. Mada ina maana na ni muhimu kwa maslahi ya nchi.
 
Kijana serikal imesha zika. Muache hayat apumzike.
Muda wa maombolezo kitaifa umeisha. sasa ni muda wa kazi
 
Mtaani JPM amefahamika kauwawa,

Mnakaa kwenye AC huku hamjui kinachoendelea sababu furaha yenu imepatkana mnasahau wananchi, sijui 2025 watawaangaliaje mtaani.
Mtaa upi unaongelea? serikal si ilishatoa statement ya kifo chake?

Oh kauwawa.. ukiambiwe udhibitishe na mamlaka husika utaweza?
 
Kafa Nyerere kafa Mkapa mbona mlifunga midomo. Huyu JPM kafa kama binadamu wengine tu. Iundwe tume ya nini. Anzisha kanisa uliite Magufuli church mtakutana wote huko.
 
Kwa sababu alikuwa hashauriki na kila kitu alitaka afanye mwenyewe mpaka kufukia Kula mahind ya kuchoma barabarani wakat ni hatar kiusalama basi hakuna haja ya time maana hata matukeo yakija ya namna gani hakuna wa kumlaum zaid ya Marehem mwenyewe.
 
Bashiru je? hana nafasi humo kwenye tume?
 
JPM ndie alikuwa mwana ccm wa mwisho kuaminiwa na watanzania....
2025 wapinzani wajiunge wairudishe UKAWA naamini watashinda.
Wapinzani kuweni na nia moja punguzeni malumbano yenu!! This is a golden chance!!!
 
Mh.sana Lowassa hebu aje kuirudia Ile kaulimbiu yake ya elimu, elimu, elimu! Sijakutukana Bali nakuelekeza uisome hiyo Aya yako ya mwisho kuwa they will lie! Yaani unamtuma mtu field huku ukiwa na majibu ya ulichomtuma? Ulimtuma akafanyeje Sasa?
Kama una majibu tayari hata wangekuja na yanayofanana na ya kwako bado ungeyatilia Shaka na kuyakanusha!
Sasa uchunguzi utakuwa na manufaa gani zaidi ya kupoteza muda na rasilimali nyinginezo?
 
Vipi kuhusu watendaji wengine wa Ikulu waliofariki kabla ya JPM (Katibu mkuu Kiongozi, Waziri mambo ya nje nk)?
 
Tatizo walificha.
Hapo NDIPO tatizo lilianzia
Kuficha matukio ni kawaida kwa Serikali zenye mlengo wa kidikteta Ndio maana hata swala la corona walificha ukweli kwa madai ya kuzuia taharuki kwa wananchi. So hata kifo cha Nduli walificha kwanza ili kufanya maandalizi, hawakutegemea kama jamaa angekata moto ghafla
 
Yaaah na ndo wapiga kura halisi, pia wahudhuriaji kampeni, safari hii 2025 huyu mama atapiga kampeni sijui wapi na chama chake.

Ni heri aanze kusafisha kwa kutembelea wananchi.
Endelea kusubiri kama unategemea mama kuja kupiga kampeni chumbani kwako!!! Sisi wananchi wapiga kura tunamuelewa sana na tunasema mama mitano, mitano na mitano tena, ikiwezekana maisha kabisa.
 
Pimbi wewe mbona bado uchunguzi Ben saa8 na lissu
 
Umeandika vema sana kiongozi.
Uchunguzi ufanyike kwa wote waliodhulumiwa haki ya kuishi cause mbele ya Mungu na sheria hakuna aliye bora zaidi ya mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…