Pre GE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani kafanya nini, ni Africa pekee yake tunza huu uzandiki, yaani watu wana maisha magumu unasherehekea nini
 
Zanzibar yote iwe mkoa halafu iitwe Samia region
 
🚮🚮🚮🚮🚮
 
Unaongeleaje wale wanaomchangia rais hela ya kuchukua form ya kugombea urais? Je familia ya rais inaishi kwa shida sana?
 
Tufanye hivi ili chawa na nyie mpumzike.
1.Nchi iitwe Samia Republic
2.Kila mtoto wa kike akizaliwa aitwe Samia,wakiume mtapendekeza wenyewe .

3.ATCL Iiitwe Air Samia

4.Bank kuuu iitwe Samia Bank

5.Bahari ya Hindi ibadilishwe jina iitwe Samia sea.
6.Tanesco iitwe Hivyo hivyo Samia power supply corporation.

7SGR Iitwe Samia fast train.

Uwanja wa Taifa iitwe Samia Stadium.

Dawa za magomjwa yote zitwe hivyo”
 
Trump anarejea White House Januari mwakani.

Kwa kasi hii, huenda sisi tukawa mfano wake bora wa shthl country! - tena on the race to the bottom of the cesspit.
 
Asante kwa ushauri na hata MAGU RIP yalikuwepo ya Aina zake sio jambo la ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…