Napendekeza Rais aliyechaguliwa akifia Madarakani, makamu wake ashikilie nafasi hiyo kwa siku 90 tu kisha uitishwe uchaguzi

Situation mbona iko sawa tu sema kuna watu wanakuza mambo kwa maslahi yao ila mambo yapo shwari tuu sio kubwa kiasi cha kutishia amani
 
Naunga mkono hoja 100%
Hivi kwenye katiba mpya inayopendekezwa hiki kipengele kimekaaje?
Anyway, kama hakipo hivyo, basi itabidi kifanyiwe marekebisho.
Hii itamfanya Mh. Rais asiwe anakuwa na mashaka au kutoaminiana na Makamu wake wa Rais.
 
Naunga mkono hoja.
 
Situation mbona iko sawa tu sema kuna watu wanakuza mambo kwa maslahi yao ila mambo yapo shwari tuu sio kubwa kiasi cha kutishia amani
Lakini si jambo jema kwa kiongozi wa juu hivyo kulalamikiwa na asilimia kubwa ya unaowaongoza!
Ingekuwa 50 kwa 50 hapo sawa, lakini kwa utafiti wangu uchwara, asilimia 90 ya Watanzania ni kama hawaielewi elewi hii serikali iliyopo madarakani.
Sema tu kati ya vitu Watanzania tumefundishwa toka tukiwa wadogo, ni pamoja na uoga uliopitiliza wa kuogopa kutoa maoni juu ya kile unachokiamini.

Ndo maana hata juzi Mh. Balozi msitaafu Dk. Wilbroad Slaa anasema wengi wa walioko nyuma ya wale wanaopinga DP World ni viongozi wakubwa wa CCM!!
 
Unajua kuna watu wanalipwa hela ili kupiga kelele swala la bandari?

Na hao CCM ndio wezi na ndio walio tufikisha hapa kwa sababu ya wizi na ukwepaji kodi kwa hivyo kuwa sehemu ya kupinga ni jambo la kawaida kabisa kama ilivyo kuwa wakati wa kubinafsisha NMB wakati wa awamu ya 3

Watu wamesha zoea kupitisha makontena bila kulipa kodi ,watu wamesha zoea ku forge document za mzigo unadhan hao watakubaliana na hilo? Wakati wanajua mirija inaenda kukatika?
 
Pia tuwe na utaratibu kuwavet viongozi wetu. Tuchukue wenye uwezo wa kuona mbali kwa mstakabali wa taifa.

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
Tusubiri 2025 agombee tuone kama mtamchagua mtu mwingine maana kashaanza kupanga safu yake pale TUME YA UCHAGUZI 😅😅😅 MAPURI NDANI!!!
 
Umba nchi yako
 
Uchaguzi wa raisi na hata wabunge ni pesa kidogo sana wala haifikii 400 bilioni
 
Yaani!
 

Attachments

  • 5394886-774acdfc87d3afa8f4140ab87cefff5c.mp4
    1.1 MB
Naunga mkono hoja, huyo makamu baada ya kumpata rais mpya aendelee kupata stahiki kama rais mstaafu kwa kipindi hiko. Akishindwa kutaka kugombea basi aendelee na stahiki za makamu wa rais mstaafu.

Kwa kuzingatia gharama za uchaguzi, nakuzingatia pia kinaendelea kuwa ni kipindi cha mpito tunaweza weka utaratibu wa kumchagua rais.

Kwa mfano tunaweza weka majukumu hayo kwa madiwani wote wakiwemo wabunge, wenyeviti/makatibu wa vya siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…