Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #341
Wee endelea naye , mwakani tena watu watafukua uziBado nasimama na Arteta. Uchovu tu, timu itarudi imara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee endelea naye , mwakani tena watu watafukua uziBado nasimama na Arteta. Uchovu tu, timu itarudi imara.
Nimetukanwa matusi karibu yote unayoyajua kwenye uzi huu , na kwa hakika hata Kwenye Champions league hawatoboi .😂😂 tuendelee kufukua
Arsenal wanajua kuanza msimu tuuNimetukanwa matusi karibu yote unayoyajua kwenye uzi huu , na kwa hakika hata Kwenye Champions league hawatoboi .
Leo mkuu hujaongea.Kumpa kijana huyu mikoba ya kufundisha Arsenal itakuwa kamari ya kijinga sana kuicheza na nachukua nafasi hii kupinga kabisa njama hizo .
Arteta aliyezaliwa 26/3/1982 hana uzoefu wa maana wala ujasiri wowote wa kuipa Arsenal mataji , katika kipindi alichoitumikia Arsenal pamoja na kupewa Arm band hakuwahi kutoa mchango wowote wa kusaidia timu yake , hata kwa kuhamasisha kwa maneno tu kama wafanyavyo Ma Captain wa vilabu vingine , aliitwa Man City kuwa kocha msaidizi July 3 2016 , mpaka sasa ni chini ya miaka miwili , huyu si wa kupewa timu tajiri kama Arsenal
Arsenal inahitaji kocha mzoefu mwenye mafanikio yasiyotiliwa mashaka , Au la kama viongozi wanapenda kumpa kazi hiyo yule aliyechezea klabu yao basi nafasi hiyo wapewe wachezaji wenye uchungu mkubwa waliotoa jasho na damu kuipa timu mataji , wachezaji hao wapo na majina yao yanafahamika , lakini si Arteta .
Nakala imfikie Arsene Wenger .
Mambo ya Chenga Twawala hayoLeo mkuu hujaongea.
Arteta ni kocha tena bonge kocha,ukiitizama game yake dhidi ya Bayern basi lazima ukiri Arteta ni kocha.
Na naombea achukuliwe na barcelona kama akitoka arsenal.
Kwa jinsi arsenal ilivyo sasa hivi Arteta ni kocha mkuu.Mambo ya Chenga Twawala hayo
Mkuu soka ni Makombe , longolongo zozote hazisaidii kitu , mwanzoni mlisema bado anajitafuta , sasa sijui bado hajajipata ?Kwa jinsi arsenal ilivyo sasa hivi Arteta ni kocha mkuu.
Pia tizama hata wachezaji wanaochezaji arsenal wengi viyankiiii ila wanakiwasha.
Leo kufungwa na Aston villa wacha tumsifie Uinai Emery.
Mkwe ukija kwangu kwa vurugu hizi, naku timua wallahi 😂😂😂😂 tuendelee kufukua
Kamsaidia mwalimu wake pep!Mambo ya Chenga Twawala hayo
Nishakuambia kaka usijichanganye😂Mkwe ukija kwangu kwa vurugu hizi, naku timua wallahi 😂😂
Wenger kaipatia makombe mangapi Arsenal!?Mkuu soka ni Makombe , longolongo zozote hazisaidii kitu , mwanzoni mlisema bado anajitafuta , sasa sijui bado hajajipata ?
Yaani uta juta, tuhamie site ya the mighty 🤓Nishakuambia kaka usijichanganye😂
Unataka kusema Arsenal hawana nguvu kifedha au nguvu zipi ?Wenger kaipatia makombe mangapi Arsenal!?
Pia ukumbuke Arsenal inapambana na rivals ambao ni elite kama Mancity na Liverpool.
Yeye kuwa top 4 na kushiriki Uefa ni hatua na matumaini makubwa.
Nimetia timu tayali kaka😃🤝Yaani uta juta, tuhamie site ya the mighty 🤓
Kifedha nguvu wanazo ila je kuifikia Mancity!?Unataka kusema Arsenal hawana nguvu kifedha au nguvu zipi ?
Man City mbona wana wachezaji wa kawaida tu , kuna nini pale , au Liverpool ina wachezaji wapi wa ajabu ? Kikubwa ni Tactics , je kocha kapita wapi na wapi , aliwahi kufanya nini na lini na wapi ?Kifedha nguvu wanazo ila je kuifikia Mancity!?
Timu wanayo ila je ina ubora kuifikia Man city na Liverpool!?
Mancity na Liverpool ndio kikwazo kama Yanga na Simba ilivyo kikwazo kwa Azam.
Acha utani kina Foden wachezaji wa kawaida!?Man City mbona wana wachezaji wa kawaida tu , kuna nini pale , au Liverpool ina wachezaji wapi wa ajabu ? Kikubwa ni Tactics , je kocha kapita wapi na wapi , aliwahi kufanya nini na lini na wapi ?