Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Kumpa kijana huyu mikoba ya kufundisha Arsenal itakuwa kamari ya kijinga sana kuicheza na nachukua nafasi hii kupinga kabisa njama hizo .

Arteta aliyezaliwa 26/3/1982 hana uzoefu wa maana wala ujasiri wowote wa kuipa Arsenal mataji , katika kipindi alichoitumikia Arsenal pamoja na kupewa Arm band hakuwahi kutoa mchango wowote wa kusaidia timu yake , hata kwa kuhamasisha kwa maneno tu kama wafanyavyo Ma Captain wa vilabu vingine , aliitwa Man City kuwa kocha msaidizi July 3 2016 , mpaka sasa ni chini ya miaka miwili , huyu si wa kupewa timu tajiri kama Arsenal

Arsenal inahitaji kocha mzoefu mwenye mafanikio yasiyotiliwa mashaka , Au la kama viongozi wanapenda kumpa kazi hiyo yule aliyechezea klabu yao basi nafasi hiyo wapewe wachezaji wenye uchungu mkubwa waliotoa jasho na damu kuipa timu mataji , wachezaji hao wapo na majina yao yanafahamika , lakini si Arteta .

Nakala imfikie Arsene Wenger .
Leo mkuu hujaongea.
Arteta ni kocha tena bonge kocha,ukiitizama game yake dhidi ya Bayern basi lazima ukiri Arteta ni kocha.
Na naombea achukuliwe na barcelona kama akitoka arsenal.
 
Mambo ya Chenga Twawala hayo
 
Mambo ya Chenga Twawala hayo
Kwa jinsi arsenal ilivyo sasa hivi Arteta ni kocha mkuu.
Pia tizama hata wachezaji wanaochezaji arsenal wengi viyankiiii ila wanakiwasha.
Leo kufungwa na Aston villa wacha tumsifie Uinai Emery.
 
Mkuu soka ni Makombe , longolongo zozote hazisaidii kitu , mwanzoni mlisema bado anajitafuta , sasa sijui bado hajajipata ?
 
Wenger kaipatia makombe mangapi Arsenal!?
Pia ukumbuke Arsenal inapambana na rivals ambao ni elite kama Mancity na Liverpool.
Yeye kuwa top 4 na kushiriki Uefa ni hatua na matumaini makubwa.
 
Unataka kusema Arsenal hawana nguvu kifedha au nguvu zipi ?
 
Kifedha nguvu wanazo ila je kuifikia Mancity!?
Timu wanayo ila je ina ubora kuifikia Man city na Liverpool!?
Mancity na Liverpool ndio kikwazo kama Yanga na Simba ilivyo kikwazo kwa Azam.
 
Man City mbona wana wachezaji wa kawaida tu , kuna nini pale , au Liverpool ina wachezaji wapi wa ajabu ? Kikubwa ni Tactics , je kocha kapita wapi na wapi , aliwahi kufanya nini na lini na wapi ?
 
Acha utani kina Foden wachezaji wa kawaida!?
Kina Mac Allister wachezaji wa kawaida!?
Kwa anayoyafanya Arteta na kwa experience ndogo alokua nayo ni kocha mzuri aisee.
Kama kweli mshabiki wa mpira utaliona hilo.
 
Back
Top Bottom