The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Usichokijua ni hiki.
Mbowe kunyoosha mkono na kuzungunzia chakula ni code language...
Mnaboa mnaoandika awa badala ya hawa! H mnaiacha kwanini?Askari ma gereza wamemfuata FREEMAN Mbowe, anahitajika ofisini kwa Jaji katika kikao cha pamoja na mawakili wa pande zote (serikali na utetezi), Washtakiwa wengine watatu bado wamebakia kizimbani...
Umesoma maelezo kwa makini kweli..?Kuna kitu sijakielewa hapa. Nimewahi kusikia kuwa gerezani chakula cha jioni kinaliwa mapema sana (pengine kabla ya 5pm). Sasa kama hawa wanatoka mahakamani 5pm, maana yake, wanakuta milo yote imeshapita. Wamewezaje kuishi kwa miezi mitano bila kula? Au labda wanatunziwa chakula cha jioni?
Umesoma maelezo kwa makini kweli..?
Kwa nilivyoelewa mimi, si kwamba hawali kabisa. Bali wanakula mlo mmoja tu in 24hrs...
Ambacho hakijafafanuliwa hapa ni mlo upi (wa mchana, jioni au asubuhi) wasioupata...?
Na iwe hivyo tumechoka.MWAKA HUU KABLA MAJIRA YA MWAKA MPYA HAYAJAMEA TUNAZIKA TENA.
Mkuu hawa watu Lao moja, kuanzia upande wa mashitaka mahakama na magereza. Kubwa ni kumkomoa Mh Mbowe.Inasikitisha sana, miezi mitano watuhumiwa hawali chakula na magereza/serikali inaona powa tu?! There might be misconductions amonga the prison officers in there.
Kama taarifa zilishafika, wahusika wawajibishwe kwakulikalia kimya hili swala muda wote huo wa miezi mitano.
Jitahidi kujua matumizi herufi kwa usahihi vinginevyo unabadili maana Kuandika awali nitofauti na hawaliAskari ma gereza wamemfuata FREEMAN Mbowe, anahitajika ofisini kwa Jaji katika kikao cha pamoja na mawakili wa pande zote (serikali na utetezi), Washtakiwa wengine watatu bado wamebakia kizimban...
your wishes anyway!Usichokijua ni hiki.
Mbowe kunyoosha mkono na kuzungunzia chakula ni code language...
Bila Mbowe,watuhumiwa hao watatu wasingekuwa na kesi. Pia bila wao (watatu) Mbowe asingekuwa na kesiUsichokijua ni hiki.
Mbowe kunyoosha mkono na kuzungunzia chakula ni code language.
Mbowe kuitwa chemba na Jaji akiwa na mawakili wa pande zote ni coded kuna jambo mtambuka wanaenda kuwekana sawa.
Kama ilikuwa ni chakula tu, ilitakiwa amri ya Jaji itoke kwamba, watuhumiwa wawekewe ratio yao wanapotoka mahakani waikute huko mahabusu.
Kinacgotafutwa ni mazingira ya kuimaliza kesi kabla hatujaingia aibu zaidi.
Mimi ni CCM
Aisee kwahiyo hao makomandoo baada ya kuwafukuzwa waliwanyang'anya na ujuzi wao wa ukomandoo?.Acha kupotosha ,hao sio makomandoo wajeshi bali ni raia tu kwani walikwishafukuzwa kazi...
Hahahahaaaa!.Mnaboa mnaoandika awa badala ya hawa! H mnaiacha kwanini?
Sawa ujumbe wako umesomeka je Hilo unalosema ni kweli au makisio ?Usichokijua ni hiki.
Mbowe kunyoosha mkono na kuzungunzia chakula ni code language...
Wengi wanatabiri jambo hiliMWAKA HUU KABLA MAJIRA YA MWAKA MPYA HAYAJAMEA TUNAZIKA TENA.