Napingana na Mahakama kuzungumza na Mbowe peke yake bila watuhumiwa wengine, watuhumiwa watatu wanatetewa na Mbowe Kwenye Haki yao ya Kula?

Muwahi jaji mapema umueleze dukuduku lako.umbea tu wadhani kwa nchi yetu kila mtu anaweza pata hiyo nafasi ya kusema. Acha roho mbaya
 
Aisee kwahiyo hao makomandoo baada ya kuwafukuzwa waliwanyang'anya na ujuzi wao wa ukomandoo?.
ujuzi walikuwa nao ila walikuwa hawautumii
daktari akifukuzwa kazi ananyang'anywa ujuzi wake
 
Bila Mbowe,watuhumiwa hao watatu wasingekuwa na kesi. Pia bila wao (watatu) Mbowe asingekuwa na kesi

Naelewa maneno yako.
Hakuna namna nyingine ya kuzungumzia kesi hii bila maarifa kutumika.
Rais Samia akija kugundua namna watu wake wanavyopambana kumshauri isivyo heri sijui atawafanya nini hao majamaa walah
 
Aisee kwahiyo hao makomandoo baada ya kuwafukuzwa waliwanyang'anya na ujuzi wao wa ukomandoo?.
umeelewa hata sentensi yangu au umekurupuka embu soma vizuri sijaandika kwamba hao sio makomandoo bali nimeandika sio makomandoo wa jeshi
 
Mkuu hawa watu Lao moja, kuanzia upande wa mashitaka mahakama na magereza. Kubwa ni kumkomoa Mh Mbowe.
Na walaaniwe wote wanaotumika katika kuwakandamiza watu wote wanaosimamia haki nchini. Kwakujari matumbo yao laana iwatambae kuanzia wao mpaka vizazi vyao. Hivi jamhuri inajisikiaje kwa ushahidi wa kuunga unga kisa kumkomoa mtu/watu kwakusimamia haki ya wengi. Niliapa na nitaishi katika kiapo changu lakini si kuingia katika ujinga alioingia Ref. Urio hata kama alilazimishwa, inamaana endurance hana!
 
Rejea Maneno ya zanazakilimo
 
Yeye ndiye mshitakiwa namba moja na ndiye aliyeleta hiyo concern ... kuna ubaya gani kwenda kuwakilisha wenzie?
Hata sioni tatizo sababu yeye alitoa hoja na pia ana hadhi kama kiongozi japo ni mshtakiwa na kwa sababu ya mwenendo wa kesi, jaji anamwonea huruma
 
Nakubaliana na wewe
 
Hakuna atakayeondolewa hilo jambo lina baraka zote kutoka ikulu.
 
Kikombe kimoja cha uji (tena uji wenyewe wa magereza) kwa saa 24 is as good as nothing. Ndiyo maana sikukihesabu hata kukihesabu. Ukijaribu kufanya hivyo kwa week hata moja, itabidi wawe wanakubeba badala ya wewe kutembea kwa miguu yako mwenyewe!
Hata kama makomandoo walifukuzwa kwa nini wateswe huku wakitumika kama msaada kwa serikali kumfunga mbowe, jaribio linaloelekea kushindwa
 
Hii tayari ni kashfa kwa nagereza na serikali yote. Mungu huonyesha njia pasipo ni njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…