NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Muwahi jaji mapema umueleze dukuduku lako.umbea tu wadhani kwa nchi yetu kila mtu anaweza pata hiyo nafasi ya kusema. Acha roho mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ujuzi walikuwa nao ila walikuwa hawautumiiAisee kwahiyo hao makomandoo baada ya kuwafukuzwa waliwanyang'anya na ujuzi wao wa ukomandoo?.
MakasirikoSawa ujumbe wako umesomeka je Hilo unalosema ni kweli au makisio ?
daktari wa serikali akifukuzwa kazi udaktari wake anakuwa nao ila hawi daktari wa serikaliUkomandoo ni fani.
Unauondoaje au ukitoka jeshini unauvua ka gwanda?
Rais Samia akija kugundua namna watu wake wanavyopambana kumshauri isivyo heri sijui atawafanya nini hao majamaa walahBila Mbowe,watuhumiwa hao watatu wasingekuwa na kesi. Pia bila wao (watatu) Mbowe asingekuwa na kesi
Naelewa maneno yako.
Hakuna namna nyingine ya kuzungumzia kesi hii bila maarifa kutumika.
Hii kesi inatuweka pabaya kwenye kona mbovu sanayour wishes anyway!
umeelewa hata sentensi yangu au umekurupuka embu soma vizuri sijaandika kwamba hao sio makomandoo bali nimeandika sio makomandoo wa jeshiAisee kwahiyo hao makomandoo baada ya kuwafukuzwa waliwanyang'anya na ujuzi wao wa ukomandoo?.
Na walaaniwe wote wanaotumika katika kuwakandamiza watu wote wanaosimamia haki nchini. Kwakujari matumbo yao laana iwatambae kuanzia wao mpaka vizazi vyao. Hivi jamhuri inajisikiaje kwa ushahidi wa kuunga unga kisa kumkomoa mtu/watu kwakusimamia haki ya wengi. Niliapa na nitaishi katika kiapo changu lakini si kuingia katika ujinga alioingia Ref. Urio hata kama alilazimishwa, inamaana endurance hana!Mkuu hawa watu Lao moja, kuanzia upande wa mashitaka mahakama na magereza. Kubwa ni kumkomoa Mh Mbowe.
Rejea Maneno ya zanazakilimoUsichokijua ni hiki.
Mbowe kunyoosha mkono na kuzungunzia chakula ni code language.
Mbowe kuitwa chemba na Jaji akiwa na mawakili wa pande zote ni coded kuna jambo mtambuka wanaenda kuwekana sawa.
Kama ilikuwa ni chakula tu, ilitakiwa amri ya Jaji itoke kwamba, watuhumiwa wawekewe ratio yao wanapotoka mahakani waikute huko mahabusu.
Kinacgotafutwa ni mazingira ya kuimaliza kesi kabla hatujaingia aibu zaidi.
Mimi ni CCM
Ccm Gimbikweli wewe n CCM kilaza kuliko wote.
Hata sioni tatizo sababu yeye alitoa hoja na pia ana hadhi kama kiongozi japo ni mshtakiwa na kwa sababu ya mwenendo wa kesi, jaji anamwonea hurumaYeye ndiye mshitakiwa namba moja na ndiye aliyeleta hiyo concern ... kuna ubaya gani kwenda kuwakilisha wenzie?
Magereza wabebe lawama zote. Huu ni unyama sanaHili la chakula nimeumiza watu sana, laah
Nimecheka sana badala ya kusikitikaMWAKA HUU KABLA MAJIRA YA MWAKA MPYA HAYAJAMEA TUNAZIKA TENA.
Nakubaliana na weweYou have a point....!
Justification nyingine ya point yako hii ni kumhusu shahidi wa Jamhuri polisi, Inspector Swila...
Namna anvyojibu maswali ya wakili Kibatala wa upande wa utetezi ni kama vile ameshavurugwa to the extent kwamba, ameshafikia kiwango cha total confusion cha ushahidi wake...
Kwa lugha rahisi ni kuwa, ameshaamua liwalo na liwe maana kila kitu kimeshavurugika sasa...!!
Yaani ushahidi wa Jamhuri tayari umeshachanwa vipande vipande kiasi ambacho hauwezi tena ku - hold water...!
Samia na magufuli Samia ni binadamuWana haki ya kula embu tuone samia atasema nini kuhusu hili si mnasema ana huruma? Yetu macho.
Hakuna atakayeondolewa hilo jambo lina baraka zote kutoka ikulu.Jamani hoja ya Mbowe kama ni ya kweli, basi madhara yake yanaweza kumuondoa kama sio kuwaondoa baadhi ya watu makazini.
Utaratibu wa magereza uko wazi kwa wafungwa na mahabusu ambao wanachelewa kurudi gerezani.Utaratibu ni kwamba lazima wawekewe chakula na si vinginevyo.
Na kwa alichokisema Mbowe ni wazi kwamba kwa muda wanaorudi gerezani ni lazima wanakuta wafungwa na mahabusu wenzao wamekwishafungiwa ndani ya maselo.
Nawasilisha
Hata hivyo, suala la kwamba eti waondoke na chakula sio la kweli kwa sababu kwa muda wanaoondoka mahabusu kwenda Mahakamani chakula kinakua hakijapikwa/kuiva
Hata kama makomandoo walifukuzwa kwa nini wateswe huku wakitumika kama msaada kwa serikali kumfunga mbowe, jaribio linaloelekea kushindwaKikombe kimoja cha uji (tena uji wenyewe wa magereza) kwa saa 24 is as good as nothing. Ndiyo maana sikukihesabu hata kukihesabu. Ukijaribu kufanya hivyo kwa week hata moja, itabidi wawe wanakubeba badala ya wewe kutembea kwa miguu yako mwenyewe!
Hii tayari ni kashfa kwa nagereza na serikali yote. Mungu huonyesha njia pasipo ni njia.Inasikitisha sana, miezi mitano watuhumiwa hawali chakula na magereza/serikali inaona powa tu?! There might be misconductions amonga the prison officers in there.
Kama taarifa zilishafika, wahusika wawajibishwe kwakulikalia kimya hili swala muda wote huo wa miezi mitano.
Da hizi tabiri zenu siku hizi naziogopa sana.Wengi wanatabiri jambo hili
Amri kutoka "chini",AA agizo kutoka juu AA maelekezo kutoka kati banaMagereza wabebe lawama zote. Huu ni unyama sana