Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

Hawana matatizo kama hayo
 
Solution ni kumuacha, huyo mkeo mama haambiliki atakupasua ubongo.!!

Ukishakua na mwenza yeye kila mtu kwake ni mchawi kupata raha ya ndoa sahau..!! Piga chini akaendeleze mitunguli yake kwao.
 
Ataanzaje kumpekeka hosp. ..atamwambia yaani umeniona mimi ni chizi siyo? Huko hosp nenda mwenyewe na mahawala zako.
 
Nature ya Dunia ime affect kwenye upande wa kufikiri wa huyo mwanandoa

Anaona Dunia si sehem salama kwake yani inshort macho ya kuona wema hayapo.

Na suluhisho ni wewe mwenyewe Omba mwenyewe mana usipo omba hayo anayo yaamini yataanza kuja kwako yani Imani kidg utafungua portal na wewe utaanza kuona mauza uza.

Hata kama umeme haufiki vizuri hakuna mwengne wa kumuombea huo umeme ukarudi zaidi Yako mana ni mkeo ni mwili wako sasa kama utaacha mguu uoze bila kuutibu usitegmee utakuwa salama.
 
Mkuu mpeleke! Hiyo ni changamoto ya Afya ya Akili!
Kama sikosei sasa hivi serikali imeanzisha vitengo vya Huduma ya Afya ya akili kwenye Vituo vya Afya.
Maombi sijui kwa shehe sijui kwawachungaji,kwa waganga wa kienyeji achana nako huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…