🤣🤣🤣🤣 Afu ni kama ndivyo tulivyoKwa dalili alilozisema, natamani kumwambia mtoa uzi kuwa huenda yeye ndio anachanganyikiwa kwa kuto kujua tabia za wanawake. Kama hizo ni dalili za mwanamke kuchanganyikiwa, basi kuna watu wengi sana wameoa machizi na wanaishi nao. Wanawake wa dunia ya leo anaweza kurupua jambo hadi ukamshangaa, hili nalo limetoka wapi
Mpeleke kwao.kama mwaka hivi Utanishukuru baadaeYaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Dah, uanaume mateso aiseeKuna jamaa huku jirani kwetu nae anapitia hali kama hyo ana watoto watano wakubwa tu
Ila yeye mkewe hana zogo ila ana mtuhumu jamaa anamroga,kuna wakat watoto wote na mama yao huondoka na kumuacha jamaa peke yake
Huko kanisani watampelekea motoKanisani huko watamchanganya kabisaaa mi nadhani ampeleke kwao ili tiba zikatafutiwe huko.
Kuna uwezekano mkubwa michepuko inamdhuru mkeoYaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Aise katika wote wewe ndio umeongea ukweli nimemwambia nitampa 😂 maana naona anataka kuchanganyikiwa.Wasaidieni wake zenu kulipa marejesho ya vicoba nyie yaani tunachanganyikiwa kweli mtatupoteza😅
Siyo kila mtu anakwao,wazazi walitoka mikoani wakahamia Dar wakawazalia wanao na kuwajengea mji, Wazazi wote wakafariki,penye mji pakauzwa na serikali kama vile kurasini kila mtu akachukua chakeMpeleke kwao.kama mwaka hivi Utanishukuru baadae
Yawezekana,lakini nina mwaka sijawahi kuwa na mchepukoKuna uwezekano mkubwa michepuko inamdhuru mkeo
Ukiona mtu anachanganyikiwa kuna vitu vinamchanganya.Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
kabisa hili nimehisi na mimi piaInawezekana huyo mganga ndiye aliyekuwa akimdanganya ili atake over.
Hii comments itunzwe kwa matumizi ya baadae.Hii hali unaweza kusema imewapata wanawake wengi yaani kwa sasa idadi ya wanawake wanaopoteza utulivu wa akili ni kubwa Sana.
Kakwambia Huwa anakwenda Kwa wagangaKama nakuona namna unavyoisha mwili....Bora kununa kuliko kelele....yaan ni hatari kwa afya.
Huyo mrudishe home kwao atibiwe au msihi aache kwenda kwa waganga
Huwezi kuwa unawaza uchawi na kurogwa muda wote kama hujawahi danganywa na hao watuNani
Kakwambia Huwa anakwenda Kwa waganga
Kuna jamaa huku jirani kwetu nae anapitia hali kama hyo ana watoto watano wakubwa tu
Ila yeye mkewe hana zogo ila ana mtuhumu jamaa anamroga,kuna wakat watoto wote na mama yao huondoka na kumuacha jamaa peke yake
Kiongozi wa dini na nguvu ya kiroho ya kuondoa hizo changamoto ni vitu viwili tofauti, kama hiyo shida ni ya kiimani zaidi kaeni kanisani sana, aombewe sana kanisani achana na kununua vifaa vya kirohoTumeenda mpaka kwa viongozi wa dini hamna kitu,
Yaani mtu akipata tatizo la kiafya anarudishwa kwao, hivi mnaoshauri watu wanaoleta changamoto katika ndoa zao huwa mnajua ndoa ni niniKama nakuona namna unavyoisha mwili....Bora kununa kuliko kelele....yaan ni hatari kwa afya.
Huyo mrudishe home kwao atibiwe au msihi aache kwenda kwa waganga
Nikuulize wewe unayeijua,ndoa ni Nini mkuuYaani mtu akipata tatizo la kiafya anarudishwa kwao, hivi mnaoshauri watu wanaoleta changamoto katika ndoa zao huwa mnajua ndoa ni nini
Lako ni lako Tu Hadi pale litakapoondokaYaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.