Narudia tena, Mafundi gereji msipojiongeza mtaishia kutengeneza gari za mwaka 90

Mkuu humu wajuaji ni wengi sana!!
 
Mbadilike sasa. Hii tabia ya kupiga magari ya watu nyundo kama unaua kitimoto siyo fresh hata kidogo.

Mbona wazungu hawayapigi nyundo magari ya watu wanapoyatengeneza?
unamiliki garigani mkuu?
 
kwasababu sahivi huumwi siyo? Ngozi nyeusi iskie tu. Ngoja upatwe na chochote mbio kwa madaktari haohao unaowakebehi sasa hivi.
 
Elfu 50.wapi mkuu, tunamkunjia fundi 10 anapiga nyundo mpaka bas
 
Mbadilike sasa. Hii tabia ya kupiga magari ya watu nyundo kama unaua kitimoto siyo fresh hata kidogo.

Mbona wazungu hawayapigi nyundo magari ya watu wanapoyatengeneza?
Natania mkuu.

Me nafanya kazi za umeme.

Modern equipments zipo mkuu.

Mfano mdogo tu mimi nina smoke mashine, Ni mashine nzuri sana kwa ajili ya kuidentify leak kwenye engine.

Matatizo ambayo ukifanya diagnosis unapata codes kama p0171 au p0172, codes ambazo kwa kila moja ukigoogle reasons zake zinazidi 20, hiyo mashine inaweza kurahisisha sana kusolve hizo codes.

Lakini mashine yenyewe ni very delicate na reagent yake ni very expensive.

Nimeiweka tu ndani sitaki kugombana na watu. Nitaitumia muda ukifika.

Niyo spanner ya kufungulia mfuniko wa tank la mafuta. Bahati mbaya nineshindwa kuupliad picha ila moja kati ya spanner expensive. Lakini watu wanafungua matank kwa nyundo, wengine wanaishia kuvunja mifuniko n.k.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fungua uzi tofauti uelezee hao madokta wako unaosema wana bahatisha kutibu wagonjwa..
 
Ni garage kubwa au dealer anaweza wapeleka mafundi wake kujifunza zaidi.

Hayo mafunzo sio hela ndogo na hizo equipments ni hela nyingi mno ambapo wabongo wanaoweza afford ni wachache mno.

Ukitaka service ya levels za dealership wapelekee huko ila bill yake ukipewa usife kwa stress.

Mfumo wa maisha na elimu bongo haumfanyi mtu ajiongeze kielimu.

Mafundi wengi walianzia kwenye kusaidia fundi. Wachache sana walieenda kujifunza formally mambo ya ufundi na mtaala ni ule wa kizamani sana.

Na mafundi wengi wanafanya deals za kupata hela ya kula tu. Zile deals za kupata mamilioni ya kusave zinapelekwa garage kubwa.

Na hata hao wafanyakazi wengine hawana cha kujiendeleza. Alichosoma 1970 ndo hikohiko anakitumia mpaka leo.
 
Majibu yako ni savage… km kweli wew ni fundi garage ukikutana na IST lazima akauze chuma chakavu πŸ˜‚πŸ˜‚
nimeshangaa watu hawataki magari yao yagongwe nyundo. wasicho jua nikwamba gari sehemu kubwa nimavyumatu ambayo hayawezi kuharibika ukigonga nyundo Kama wanavyo zani. nyundo nilazima kwenye ufundi.
 
Kuna fundi pancha aliniharibia rim ya gari ikabd niweke tube tu baadae ninunue ring nyngne. Yan alilipga nyundo sema nlikoma kuanzia siku hiyo nikawa nikitaka badili taili au ina pancha naenda sehemu yenye machine ya kuvua rim tairi
Vifaa ni bei ndogo sana China na Dubai, tatizo ni wakinunua hivyo vifaa wanatoza bei kubwa sana, hivyo wenye magari huamua kupeleka sehemu za kawaida.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema kweli hawa watu wa afya wanacheza sana na afya zetu sijui huwa wanashindwa soma vpmo. Ndio maaja watu wanaambiwa magonjwa wasiokuwa nao
Madaktari wengi bado hawana uzoefu.
Wengi ndo wametoka shuleni, hivyo wamabahatisha sanaa.

Yatakiwa mgonjwa ujiridhishe kabla hujanywa dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
navitoyota vyao hivi wapeleketu chini yamwembe ndio levo zao. kwingine huko waatayakimbia magariyao bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…