Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

Hiyo number mbili ni uongo CAG aliondolewa ili kunusuru tu mtifuano na bunge kama raisi alikuwa na hekima ni lazima angeacha kumuongezea mkataba kwa Mara ya pili
 
Mimi nadhani tukubaliane tu hapa ndani kuwa wewe mleta mada hauna akili sawa sawa. Na kuna uwezekano mkubwa utakuwa umetumwa.
Huyu mleta habari anaakili zinazofanana Na za Nape
 
Walimpa nchi ndg yetu mkemia


Kilakitu akaanza kupeleka KIKEMIA na formula zake
 
I am the state
 
He was a catastrophe to Tanzania and the neighboring countries, we thank that nature did its best and now we’re a free nation once again.

Really!?
 
Whatever, he was homicidal maniac to say the least.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tanzania tuna mfumo wa kipumbavu sana ambapo mambo ya msingi huamuliwa kwa utashi wa MTU
200% correct. Kile kibibi kikichohairisha ripoti ya WEZI isisomwe kilipaswa kukuta jengo lao limepigwa moto kama Burkinabe
 
CAG alivyoibua madudu yaliyofanywa na jiwe mwenyewe hasa ile alivyokwapua sh trilion 1.5 ndiyo akatumbuliwa
Baada ya Magufuli kukwapua hizo Trillion 1.5 amezificha wapi? mbona CAG hakufukuzwa ni muda wake uliisha na hakuongezewa muda kwa sababu alikuwa anabishana na bunge
 
Kitu ambacho nna uhakika wa asilimia 100 ni kua legacy ya Magufuli itabaki kwa mda mrefu sana, Rais mwenye maamuzi, anayechukia uzembe, na mthubutu kweli kweli.

Naelewa kuna watu wanalipwa 'vijishilingi' kumchafua Marehemu, lakini unaenda mwaka wa 2 huu akiwa kaburini bado shujaa.
 
Kwanza CAG kutaja tu na kuachwa huru ni credit kubwa sana kwamba kila kitu kipo huru sasa
CAG kutaja hayo madudu halafu mafisadi yenyewe hayajafanywa chochote imetusaidia nini sana sana imetuonyesha ushujaa wa mafisadi jinsi walivyopiga hela nchi haiendelei kwa sababu ya wajinga kama nyie
 
Watoto wa matajiri na mafisadi ndio waliteswa pamoja na baba zao.
Hivi mfano Yusuf Manji unaweza sema aliteseka na wakati alihamishia biashara zake South Africa?Vipi wewe mtoto wa mkulima ambaye baba yako alikuwa analima Mbaazi na kumuuzia huyo Manji kwa tsh 2000 kwa kilo,na baada ya kuondoka Manji,Mbaazi zikashuka bei mpaka tsh 150 kwa kilo?.Hapa bado hujatambua aliyeteswa ni yupi?.
 
Hiyo number mbili ni uongo CAG aliondolewa ili kunusuru tu mtifuano na bunge kama raisi alikuwa na hekima ni lazima angeacha kumuongezea mkataba kwa Mara ya pili
Hujui usemacho, unajua chanzo cha mtifuano huo unaousema?
 
Yaani watu waache kumkumbuka mtu aliyewafanya ndani ya mwaka 1 tu kukamilisha nyumba zao zilizokuwa zimekaa magofu kwa 5 years huko,eti wamkumbuke mtesi?.Haupo sawa wewe.
 
Wewe unaonekana kutojitambua rasmi!

Ebu tuambie,huo uhuru wa habari uliopo sasa ni upi na umeleta tija gani kwa watanzania?

Hao wawekezaji waliopo sasa wana mchango gani katika kuinua ajira nchini,tofauti na ilivyokuwa huko awali?

Wewe uko na upofu wa tumbo maana huyaoni wala huyajui maisha wanayopitia walamba shubili wa nchi hii.

Wewe kimada chawa wa walamba asali endelea na Honeymoon yako,ila majibu rasmi mtayaona 2025.

Hayo maushungi mtayaona mzigo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…