- Thread starter
- #61
Moja kati ya miaTupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja kati ya miaTupo
Hiyo number mbili ni uongo CAG aliondolewa ili kunusuru tu mtifuano na bunge kama raisi alikuwa na hekima ni lazima angeacha kumuongezea mkataba kwa Mara ya piliKila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la sabau au nursery kabisa.
Hebu fikiria yafuatayo:
1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu mpaka kikaanziaha kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano.
2. CAG alivyoibua madudu tu akatumbuliwa fasta.
3. Wawekezaji wanakimbia daily wa nje na ndani nchi ikabaki biashara ni ngumu na ukumbuke watu walikuwa wanapoteza ajira daily ndo ikazalisha mass unemployment tunayoiona Leo.
4. Ukiamka tu asubuhi hujui kama utarudi nyumbani salama mana wasiojulikana walikuwa wametanda kila Kona na tunaogopana hasa.
5. Madudu ya yule bwana ni mengi mno natumia kuandika kitabu ili iwe fundisho kwa wengine
Huyu mleta habari anaakili zinazofanana Na za NapeMimi nadhani tukubaliane tu hapa ndani kuwa wewe mleta mada hauna akili sawa sawa. Na kuna uwezekano mkubwa utakuwa umetumwa.
I am the stateA short lived frenzy and hysteria...Some Say
A Good riddance...Some say Too
But I say this, with all his pitfalls, President Magufuli successfully put to light a grotesque and diabolical nefarious cabal that has stealthily sucked our nation's resources like leeches. The people whom we never knew that existed. Most of traitors are now known by their names and monikers. For this, he earned my deepest respect.
Alifata uenyekiti au serikali imemuwahi kulinda majimbo ya dar (ccm)Mh Kambaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
He was a catastrophe to Tanzania and the neighboring countries, we thank that nature did its best and now we’re a free nation once again.
Absolutely!Really!?
Whatever, he was homicidal maniac to say the least.A short lived frenzy and hysteria...Some Say
A Good riddance...Some say Too
A homicidal maniac....His common nomenclature
But I say this, with all his pitfalls, President Magufuli successfully put to light a grotesque and diabolical nefarious cabal that has stealthily sucked our nation's resources like leeches. The people whom we never knew existed. Most of traitors are now known by their names and monikers. For this, he earned my deepest respect.
🤣🤣🤣🤣🤣A short lived frenzy and hysteria...Some Say
A Good riddance...Some say Too
A homicidal maniac....His common nomenclature
But I say this, with all his pitfalls, President Magufuli successfully put to light a grotesque and diabolical nefarious cabal that has stealthily sucked our nation's resources like leeches. The people whom we never knew existed. Most of traitors are now known by their names and monikers. For this, he earned my deepest respect.
200% correct. Kile kibibi kikichohairisha ripoti ya WEZI isisomwe kilipaswa kukuta jengo lao limepigwa moto kama BurkinabeTanzania tuna mfumo wa kipumbavu sana ambapo mambo ya msingi huamuliwa kwa utashi wa MTU
Ulimbukeni aliorithi toka Chato.Uzi kwa kiswahili umesoma ukauelewa kilichofanya unaandika kingereza chako Ni nn
Baada ya kua huru?Kwanza CAG kutaja tu na kuachwa huru ni credit kubwa sana kwamba kila kitu kipo huru sasa
Baada ya Magufuli kukwapua hizo Trillion 1.5 amezificha wapi? mbona CAG hakufukuzwa ni muda wake uliisha na hakuongezewa muda kwa sababu alikuwa anabishana na bungeCAG alivyoibua madudu yaliyofanywa na jiwe mwenyewe hasa ile alivyokwapua sh trilion 1.5 ndiyo akatumbuliwa
CAG kutaja hayo madudu halafu mafisadi yenyewe hayajafanywa chochote imetusaidia nini sana sana imetuonyesha ushujaa wa mafisadi jinsi walivyopiga hela nchi haiendelei kwa sababu ya wajinga kama nyieKwanza CAG kutaja tu na kuachwa huru ni credit kubwa sana kwamba kila kitu kipo huru sasa
Hivi mfano Yusuf Manji unaweza sema aliteseka na wakati alihamishia biashara zake South Africa?Vipi wewe mtoto wa mkulima ambaye baba yako alikuwa analima Mbaazi na kumuuzia huyo Manji kwa tsh 2000 kwa kilo,na baada ya kuondoka Manji,Mbaazi zikashuka bei mpaka tsh 150 kwa kilo?.Hapa bado hujatambua aliyeteswa ni yupi?.Watoto wa matajiri na mafisadi ndio waliteswa pamoja na baba zao.
Hujui usemacho, unajua chanzo cha mtifuano huo unaousema?Hiyo number mbili ni uongo CAG aliondolewa ili kunusuru tu mtifuano na bunge kama raisi alikuwa na hekima ni lazima angeacha kumuongezea mkataba kwa Mara ya pili
Yaani watu waache kumkumbuka mtu aliyewafanya ndani ya mwaka 1 tu kukamilisha nyumba zao zilizokuwa zimekaa magofu kwa 5 years huko,eti wamkumbuke mtesi?.Haupo sawa wewe.Kitu ambacho nna uhakika wa asilimia 100 ni kua legacy ya Magufuli itabaki kwa mda mrefu sana, Rais mwenye maamuzi, anayechukia uzembe, na mthubutu kweli kweli.
Naelewa kuna watu wanalipwa 'vijishilingi' kumchafua Marehemu, lakini unaenda mwaka wa 2 huu akiwa kaburini bado shujaa.
Wewe unaonekana kutojitambua rasmi!Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la sabau au nursery kabisa.