NASA mbona haieleweki kuhusu kupeleka watu mwezini?

Pamoja..
 
Usalama wa spacecraft itself plus data collection. and the safety of specified environment if it's suitable enough for human activities and residential usage.
Kitu ambacho hawakufanya miaka 53 nyuma.
Tuanze na safety ya spacecraft itself kama ulivyosema. Ikifanyika miaka 53 nyuma haitakiwi kufanyika tena?
 
Tuanze na safety ya spacecraft itself kama ulivyosema. Ikifanyika miaka 53 nyuma haitakiwi kufanyika tena?
Safety of spacecraft ilifanyika hapahapa duniani, lakini hawakufanya kufanya mission nzima ya kwenda na kurudi just to gain data.
 
Kuna jamaa yangu hapa anadai wanawake wanaenda huko kila.mwezi.

Hoja hapa tuiangalie ni kwamba, kwa nini chombo chenye nguvu zaidi kifanye majaribio kumpeleka mwanadamu mwezini wakati walishawahi kwenda huko?

Tunanyweshwa chai za ajabu sana na hawa wazungu
 
Unajua maana ya "imani"?
Mimi nimeshakwambia ndio naamini watu walikwenda mwezini.
Sasa wewe unataka uthibitisho au ushahidi gani?

Kazi iliyobaki ni wewe kuthibitisha kwamba hakuna mtu alikwenda mwezini na kwanini.
Nani alikwambia Imani haithibitishwi ? Imani inathibitishwa na mimi nimeshakuthibitishia ya kwamba imani yangu ni kuwa Qur'aan haisemi uongo, uthibitisho ni wao kushindwa kwenda huko mwezini. Sasa na wewe unaamini hilo, ila kuna vitu yaani ishara zilizo kupelekea kuamini hilo.

Kwahiyo hata uwe na imani ya sampuli lazima uwe na ushahidi juu ya imani hiyo ujue ni imani ya kweli au ya uongo.

Sasa inaonekana una uchache wa elimu juu ya tamko imani. Imani ni uhalisia na si nadharia kama za Sayansi japo kuna imani sahihi na imani potofu yaani za uongo.

Twende kazi.
 
Nukta katika kuogopwa ili watu waelekeze mambo yao kwao. Mifano iko mingi sana leo hii hata nyinyi mambo yenu mnao waangalia na kuwaamini ni nani ? Bila shaka ni hao hao, na hii ni faida katika faida zao.
 
Kwani aya inayosema huwezi kuvuka atmosphere iko wapi au peponi ndo uko angan?
 
Unasema vipi wameshindwa bila kuthibitisha kuwa wameshindwa?
Au unamaanisha kitendo cha wewe kusema "wameshindwa" ndio uthibitisho wako?

Sasa thibitisha kwamba wameshindwa kwenda mwezini.
 
Nukta katika kuogopwa ili watu waelekeze mambo yao kwao. Mifano iko mingi sana leo hii hata nyinyi mambo yenu mnao waangalia na kuwaamini ni nani ? Bila shaka ni hao hao, na hii ni faida katika faida zao.
Bado hujajibu swali.

Mambo ya aina gani?
Na ni kivipi NASA wanapata faida mimi nikielekeza mambo yangu kwao?

Jibu na yale mengine usiishie kwenye "kuogopwa."
 
Kwanini wasiogope wakati ulimwenguni hatupo peke yetu
 
Safety of spacecraft ilifanyika hapahapa duniani, lakini hawakufanya kufanya mission nzima ya kwenda na kurudi just to gain data.
Kwa hiyo kufanyika tena sio kigezo kwamba hawakwenda mwezini miaka 53 nyuma.
 
Bora hta umekiri kwamba hujui ulichokiandika..
Unataka kusema nini chief?. Neno atmosphere umelifanya Kua hoja kuu.. Shida yako mi ni kuweka neno atmosphere katika koment yangu?.
Unaangaika sana kama bata anaetaka kutaga ila usemi shida ni nini hasa katika komenti yangu hata uweweseke kiasi hiki. 🤣
 
Imani ni kuamini katika yale yasiyothibitishika, huu ujinga ukiuleta kwenye sayansi wewe ni mjinga pia. ISS ipo angani nje ya dunia miaka na miaka halafu mtu anasema kuna fensi inazuia vitu kutoka wala kuingia mpaka mungu aamue. Kile kimondo cha kule Mbozi kilitokea baharini!?
 
Kwa hiyo kufanyika tena sio kigezo kwamba hawakwenda mwezini miaka 53 nyuma.
Hujanielewa.

1969 walifanya spacecraft safety test kwa kufanya inspections mbalimbali hapohapo kwenye lauchpad bila ya kwenda popote na baada ya hapo chombo kiliondoka na crew ya watu ndani yake.
Lakini mwaka 2022 wanafanya mission nzima kuwa inspection yaani kwenda na kurudi ili tu kupata taarifa za uhakika juu ya ufanyaji kazi wa chombo na sababu nyingine, bila crew ya watu ndani yake, yaani ni remote mission.

Kitu ambacho hawakufanya 1969 sababu ni risk kubwa isiyoelezeka.
 
Okey
 
Sasa mbona unapingana wa neno tena?
Kwani mtu akisema nitakwenda kuangalia Kama kuna usalama wa kupitika tena wewe unaelewaje.
Kwa uelewa wangu ni kwamba alishawahi kwenda kwa kipindi au wakati funani akapita. Sasa je, kutokana na muda wa miaka 53 (sambamba na mabadiliko pengine ya tabianchi tunayokutana nayo, mfano China joto Kali kwa uchache), je bado kuna usalama wa kupitika, kuendeka? Je! kuna mabadiliko au hatari za kiusalama?

Ashakum si matusi, kwani demu uliyekutana naye miaka kumi iliyopita ukimtaka tena huweki tahadhari ya kuvaa sox ya mguu mmoja?
 
Hivi alobadili mada nani hapo? rejea na uzi ni wapi mtoa mada kaleta hoja za allah au upande wowote wa dini lakini mada mpaka imefika hapa mpaka umeniquote ni kwa sababu ya mchangia uzi kuusisha hoja za kisayansi na dini, kisayansi ni mtu yeyote anaweza changia au hata kuelewa coz ukisikia sayari ni elimu ya kuanzia msingi mpk sekondari nakuendelea though kuna walojifunza deep, kidini ni unalazimisha kugawa makundi mfn bnafsi hata ukinambia kuhusu allah cna nachoelewa nitakujibu unavyolazimisha mwsh ndiyo hvyo unaona npo ya hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…