Nashauri awamu ya sita agombee Rais Mstaafu Ndg. Jakaya Kikwete

Issue ya nchi hii haijawahi kua kikwete issue kuu kwa sasa ni mfumo ndio maana watz walishaamua kuipumzisha ccm tangu awamu ya pili ya Kikwete....

Hiki chama ccm ni cha kishetani. Bila kukiondoa madarakani nchi itaendelea kupotea
 
Akagombee Urais wa Singida United timu ifufuke.

Sasa unaambiwa huyo Mwigulu ndio one of the best Ministers so far kwenye balaza la mawaziri
Msikivu, hasie na majigambo , mwenye huruma na msaada mkubwa kwa wabunge wenzie na wananchi very humble and down to earth sio hivyo mnavyodhania

don’t judge the book by its cover , tusimjaji mtu kwa kumuangalia sura yake , Yule ana utu sana ( He is a human )
 
Issue ya nchi hii haijawahi kua kikwete issue kuu kwa sasa ni mfumo ndio maana watz walishaamua kuipumzisha ccm tangu awamu ya pili ya Kikwete....

Hiki chama ccm ni cha kishetani. Bila kukiondoa madarakani nchi itaendelea kupotea
Hizo akili unafikiri wanazo, mtoa post ameshasahau kabisa kwamba alimuhutaji Lissu.
Kwake Bora aendelee kutawaliwa na ccm lakini sio upinzani
 
Watanzania tumekosa akili kiasi hichi
Hamuwazi balaa alilofanya huyu bwana bado mnataka balaa lingine tena

Hakuna anayewaza Sasa kwamba ndiyo muda wa kutafuta katiba mpya
Watu wa humu ni kuwaonea tu huruma. Bado wanatamani ccm uendelee madarakani. Mtoa post kishasahau kwamba Lissu nae anastahili kupewa uraisi
 
5 tenaaa
 
Kosa lake lilikuwa kulifanyia UNAFIKI katiba mpya, pale wahafidhina walipomuweka sawa .
 
Watu wa humu ni kuwaonea tu huruma. Bado wanatamani ccm uendelee madarakani. Mtoa post kishasahau kwamba Lissu nae anastahili kupewa uraisi
Suala la msingi katiba mpya iundwe kabla ya mambo mengine yote na tume iwe huru ndiyo watu waende kwenye uchaguzi Kama kweli lisemwalo lipo
Tukienda hivihivi bado hamna chochote
 
Acha ujinga na kujipendekeza.
 
Tuache na Chuma chetu,
 
eti tunataka Rais asiyecheka
 
hhahhhahhaaahahaha "kwa wabunge wenzie,kwenye balaza la mawaziri" ..............mwigulu huyuhuyu mwenye mdomo mchafu..................samahani tushushe hapahapa.
 
Achana na JK lakini kwangu mimi naona wafutao wanaweza badili maisha yetu yakawa bora zaidi

1. Makamba January

2. JAFO

3. PROF kabudi

4. Lissu

5. Zitto
 
Achana na JK lakini kwangu mimi naona wafutao wanaweza badili maisha yetu yakawa bora zaidi

1. Makamba January

2. JAFO

3. PROF kabudi

4. Lissu

5. Zitto

Nos, 2 & 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…