Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Eegh, seriously?Hao naona waandaliwe pambano wanyukane, zaidi ya sifa za kijinga hakuna lolote..!!
Mkuu kati yao mmojawao akikazia au kumaanisha anachosema hachukui kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eegh, seriously?Hao naona waandaliwe pambano wanyukane, zaidi ya sifa za kijinga hakuna lolote..!!
Tamaa zimewajaa na ujinga..!!Eegh, seriously?
Mkuu kati yao mmojawao akikazia au kumaanisha anachosema hachukui kweli?
Mtoto wa mama lazima akae mjini!Mpeleke Mkoa wa Mara kule kwa Wamura. Wale hawana mchezo.
Mwambieni Mbunge ajue mipaka yake na awe na adabu kwa wakubwa. Makonda ana zaidi ya Wabunge sita chini yake, kwa nini wakulia lia awe Gambo tuu? Mwambieni atulie, imeandikwa, ukiua kwa Upanga utakufa kwa Upanga. Gambo asome alama za nyakati, siasa za sasa hazimtaki. Hata kama asingekuwepo Makonda, Gambo asingepita kura za maoni CCM.Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana
! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !
Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?
Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana
! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !
Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?
Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Ndo wamekutana sasa !Hao wote ni wahuni. Makonda ni mhuni na kibaka, Gambo nae ni mhuni na kibaka. Ni vibaka toka enzi na enzi.
wanasemaga unaweza kulihamisha Jabali lililopo baharini lakini huwezi kuihamisha tabia ya mtu 🙄 !Ila sidhani kama atajitunisha tena
Arusha tu ?!!Huyu Makona alitakiwa akutane na mbunge mjeuri sampuli za Ole sendeka, Msukuma, Kigwangala, au hata li-Gwajima.
Wakuu wa mikoa wana shughuli chache sana kimiongozo..
Kulazimisha kutrend ndio kunamfanya Makonda afanye shughuli za watu wengine...
Mbunge yupo, Madiwani wapo, Wakurugenzi wapo, Meya yupo, Ras yupo, Das vilevile.....
Makonda anataka yote afanye yeye.
Ipo tofauti kati ya mkuu wa Mkoa na Gavana wa eneo.
Makonda amejigeuza kuwa Gavana.
Hicho cheo hatuna Tanzania.
Gavana yupo mmoja tu wa B.O.T tu nae hana mkoa wala Jimbo.
Na kwanini ang'ang'anie Arusha mjini tu,
Kwani Hazipo wilaya nyingine.
Wanamtisha Lema a.k.a Nabii 😳 !
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mjini 😳 !Hapo kuna Mbunge wa Arusha mjini na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mjini.
Tatizo la huyu jamaa ni hilo kujijenga mwenyewe na kupuuza wengine na kudharau wengine,kipindi cha Magu aliwadharau mpaka mawaziri.Nafkri kuna kitu hakiko sawa,na atajitambua kwa kuchelewa.Ninasapoti wazo lako. RC Makonda ataleta sana uhasama pale Arusha. Analeta mgawaqnyiko mkubwa sana pale Arusha. Tatizo lake anataka yeye ndiyo aonekane wa maana kuliko yeyote pale Mkoani. Utawala hauendi hivyo. Utawala unataka timu moja kwa maendeleo, malengo ya pamoja. Mhe. Rais ni vema huyu RC akatafutiwa kituo kingine.
Poleni chawa wa Makonda na Gambo. Ubunge tu ndio unafanya mpigane hivyo au kuna sababu nyingine?Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana
! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !
Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?
Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Katika watu wapo na tamaa ya madaraka tz hii Makonda ni mmoja waoJoto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m