Nani kakuambia kuwa unafanya service gari kila ikitoka safari?Labda hujasafiri hivi karibuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakuambia kuwa unafanya service gari kila ikitoka safari?Labda hujasafiri hivi karibuni
Watanzania wanaendeshwa na hisia kuliko akiliGari lingekua lako ungefanya service ukifika dar na ukifika moro unafanya ungeweza. Mbona unaongea vitu vya ajabu sana.
Gari hizo zina ratba yake ya service sio kila siku. Unadhani service ni kuweka mafuta.
Unajua ifike mahali wana jf kama hujui uliza.. Gari hujawahi miliki unaanza leta stry za service every return day. Daah
Acha kelele zako,serikali ya kufanya tathmini ukaiamini ni hii hii ya akina tulia ya ccm au unazungumzia serikali nyingine!!!
siasa zinatumika juu ya vichwa vya wajinga kuamua hatma ya maisha yao.
wadau wa usalama barabarani wanapendekeza gari za abiria zisitembee usiku,anakuja mtu aliyeacha kupanda bus miaka 15 iliyopita anakwambia sio uamuzi salama kiuchumi,uchumi wa ugoko!!!
wenzenu wanapotaja uchumi wanataja na barabara 6 zinazotenganishwa na ukuta 3/3,nyie moja mpaka chokaa katika [emoji29][emoji29]
Treni ndo imegonga basi ndo maana basi limebonyea upandeBasi la ALLYS limepata ajali hapo Manyoni alfajiri ya leo. Limeigonga Treni.
Changamoto ni vihiyo na wajinga kuwa wengi katika jamii na vivyo hivyo kwenye mamlaka za usimamizi na utoaji leseni.Ila kwetu inahitaji uangalizi na mafunzo ya hali ya juu kwa madereva
Ulaya kupata license ya bus au lorry sio mchezo inaweza kufika mpaka 12m ya bongo
Mimi nilichukua kwa 10m ya kitanzania na nilisoma haswa
Maswali 900 lazima ukariri
Mtihani maswali ni 100 kutoka hayo 900 na lazima upasi zaidi ya 70 %
Unatoka umenolewa haswa
Suluhisho ni kupanua barabara sasa sio kuwafanya watu wasifanye kazi usiku.hamna shida amkeni tu,ila msisahau barabara zenu ni vichochoro,hata taa hakuna.
wenzenu wanaamka huku wanawajibika,nyinyi mnaamka huku mnapiga siasa tu.
Huwezi amini usiku abiria ni wengi sanaKama hakuna data zinazoonesha ajali za usiku ni nyingi kuliko za mchana basi, hii hoja haina mashiko.
Tupende kutafuta data kwanza. Huu ni uchumi,kazi za watu.
Kama unapotokea kuna vibaka sana basi panda gari za saa mbili asubuhi, sio lazima kusafiri na linaloanza safari saa kumi usiku.Nakubaliana na wewe.
Licha ya ajali za barabarani hata usalama wa watu kwenda stend saa kumi za usiku pia haupo.
Nilienda kwetu huko kuuliza bus la kurudi dsm naambiwa yanapita saa kumi za alfajiri.
Bahati tu nilikuwa na namba ya taxi, sijui kama nitaenda tena huko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Achana nao Mkuu! Serikali imefanya vizuri kuruhusu safari za usiku.
Kama wao wanaona shida kusafiri usiku wasafiri mida walioizoea.
Wengine wanapenda kulakula wakiwa safarini. Wakiona mayai lete, wakiona mahindi lete, wakiona miguu ya kuku shida.
Sasa safari za usiku hazina mambo hayo.
Kwema wakuu?
Kwa Hali ilivyo usalama barabarani nyakati za usiku ni mdogo madereva hawazingatii sheria barabarani wakati wa usiku maana hamna polisi. Malori nayo ndio mida Yao ya kukimbia so ajali ni nyingi mno. Madereva pia usiku wanasinzia barabarani sababu ya uchovu.
Kuna siku nimesafiri na basi la Frester kwenda Dar es Salaam, kufika Morogoro usiku kama saa nane, dereva anataka kugonga semi za mafuta sababu anaovetake pia hamna polisi barabarani.
Hivyo hivyo gari la Abood juzi tumetoka Dar dereva anaendesha kwa kasi pia tulilipanda pale mbezi saa kumi na moja alfajiri gari haikufanyiwa service maana ilikuwa inatoka mkoani na watu wanashuka pale Mbezi na sisi tunapanda sababu hawana muda wa service.
Chonde chonde serikali sitisheni hizi safari
na kwasasa usiku kuna abiria wengi sana,kama umewahi safiri usiku utakua shahidi.Achana nao Mkuu! Serikali imefanya vizuri kuruhusu safari za usiku.
Kama wao wanaona shida kusafiri usiku wasafiri mida walioizoea.
Wengine wanapenda kulakula wakiwa safarini. Wakiona mayai lete, wakiona mahindi lete, wakiona miguu ya kuku shida.
Sasa safari za usiku hazina mambo hayo.
Kuna ukweli usiku ni muda wa kulala hata kama ulipumzika vipi, kuendesha labda yawe mayahudi mawili anaetoa gari ikifika saa nane usiku anampa mwingune aliyepumzika kwa kujiegesha pale chini.Kwema wakuu?
Kwa Hali ilivyo usalama barabarani nyakati za usiku ni mdogo madereva hawazingatii sheria barabarani wakati wa usiku maana hamna polisi. Malori nayo ndio mida Yao ya kukimbia so ajali ni nyingi mno. Madereva pia usiku wanasinzia barabarani sababu ya uchovu.
Kuna siku nimesafiri na basi la Frester kwenda Dar es Salaam, kufika Morogoro usiku kama saa nane, dereva anataka kugonga semi za mafuta sababu anaovetake pia hamna polisi barabarani.
Hivyo hivyo gari la Abood juzi tumetoka Dar dereva anaendesha kwa kasi pia tulilipanda pale mbezi saa kumi na moja alfajiri gari haikufanyiwa service maana ilikuwa inatoka mkoani na watu wanashuka pale Mbezi na sisi tunapanda sababu hawana muda wa service.
Chonde chonde serikali sitisheni hizi safari
Hapo umetoa elimu sahihi katika uwanja usio sahihi.gari ni mashine mkuu,inapofanya kazi masaa zaidi ya mawili ikiwa na mzigo inahitajika service wacha ujuaji sana.
service sio lazima ubadili filter pump hata ukaguzi tu kuikagua mifumo kama iko OK ni dalili ya kuwa makini na uwekezaji wako,sio usalama wa abiria pekee.
gari inatembea masaa 12 inafika point B anabadilishwa dereva na tingo peke yake😄😄,uliishaona ndege namna inavyofanya kazi mkuu???
tajiri mwenye magari akiona ulichoandika hatakuelewa.