Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu
Acha kutia huruma, acha ngoma zipashwe moto.
Mbona watoto watakao pata ujauzito wameruhusiwa kuendelea na masomo wakati ilikuwa marufuku.
Kilamtu anamtazamowake we tulia, sawa!!.
 
Ndugai kuna vitu alikosea kama kila mtu.

Kusimama, kusimamia maslahi ya Watanzamia yupo sawa kabisa. Wengi tupo nyuma yake.
Maslahi gani zaidi ya nia za kuutaka urais. Anauchimba uongozi wa sasa. Ni kwa sababu tu hatuna utamaduni wa kujiuzulu vinginevyo alitakiwa siku nyingi awe anafanya shughuli zake binafsi.
 
Maslahi gani zaidi ya nia za kuutaka urais. Anauchimba uongozi wa sasa. Ni kwa sababu tu hatuna utamaduni wa kujiuzulu vinginevyo alitakiwa siku nyingi awe anafanya shughuli zake binafsi.

Unakosea. Ndugaib Anawasilisha maoni ya wengi. Unajua huyu mama hana uchungu na hii nchi Tanganyika. Kwanini tumeuza nchi.
 
Exactly,Samia apige chini mabaki yote Ya dikteta magufuli, hawana ujanja nje ya serikali Wala nje ya Chama hao wapuuzi kina nduugay
Afanye ua
Ndugai kuna vitu alikosea kama kila mtu.

Kusimama, kusimamia maslahi ya Watanzamia yupo sawa kabisa. Wengi tupo nyuma yake.
Mengine nayaita ya makusudi kuruhusu Sheria kandamizi na hujuma dhidi ya democrasia
 
hivi ishu ya Askofu Mwingira na Jeshi la Polisi imefikia wapi?????

nchi imejaa hekaheka mpaka hujui ushike lipi uache lipi 😀
 
hivi ishu ya Askofu Mwingira na Jeshi la Polisi imefikia wapi?????

nchi imejaa hekaheka mpaka hujui ushike lipi uache lipi 😀
Sasa tupo na subwoofer aka wamichongo au mzee wa bakora. Kila mmoja lazima anywe kikombe chake kwa wakati wake
 
Wakati wa Magufuli huyu kichaa si alikuwa house boy Chato?

Angethubutu kuongea haya? Solution ya kudeal na waasi wa Sukuma gang ni kuwavuwa uanachama tu period.

Hakuna kibaka yeyote wa ccm mwenye uwezo wa kusurvive nje ya ccm.
Unadhani kuwavua wanachama uanachama ndiyo suluhu? Jibu hoja acha udikteta.
 
Kwa nini ajiuzulu?

Spika na Rais wote ni wakuu wa mihimili...acha CCM wanyukane tujue wapi wwzalendo na wapi wahuni
 
Unakosea. Ndugaib Anawasilisha maoni ya wengi. Unajua huyu mama hana uchungu na hii nchi Tanganyika. Kwanini tumeuza nchi.
Unaongea ubaguzi mkuu. Kwa hiyo weww mtanganyika ndiye mwenye uchungu na nchi hii?.

Kuna wapumbavu wangapi wameiuza hii nchi na wana passport ya kitanzania?.
 
Back
Top Bottom